Recent content by marlingo msakaa

  1. marlingo msakaa

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    Nauga mkono chapisho lako bila kupindisha shingo.Limekuwa ni suala la kawaida jwtz kuchangia guvu kidogo yenye matokeo chanya kwenye operations. Sematu kunabaadhi ya watu hawajaelewa, wao wanafikiri wataenda maafande takribani 200 rahasha.Halafu watu wanachelewa tu kuelewa kama hawa jwtz wako...
  2. marlingo msakaa

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa Baraza la Kimataifa la Wakimbizi

    Sentensi yako ya 3 ni propaganda uchwara.Utakua umeiandika umetoka msalani.
  3. marlingo msakaa

    What's up Ugandan babes!

    They need change, they shoulda get harsh niggas to facilitate their changes.
  4. marlingo msakaa

    Hatimaye Maombi ya kumwombea Rais Magufuli yaanza kujibiwa

    Ni kweli mkuu, most Tanzanians tunaongea kingereza kilichojaa rafudhi ya kiswahili na hii si rahisi kuepukika unless tuhame tuende nchi nyingine ambapo tu wish kufanana accent. Vivyo hivyo kwa watanzania ambao wamekua wakizungumza lugha zao za asili (kama umevyoorodhesha katika comment yako)...
  5. marlingo msakaa

    Rais Magufuli hakushauriwa vizuri kuhusu kuivunja CDA

    CDA imeibia wengi sana kwakuwadanganya kuwa wanawatafutia viwanja then baada ya kupewa fedha tu mpango unabadirika hakuna kinacho fanyika tena.Kuna jamaa yangu na mwl wangu walilaghaiwa miaka nane sasa imepita.Lakini vilevile CDA walikuwa hawatake hati za kimila into consideration wakati...
  6. marlingo msakaa

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Viongozi wengi tz wanadhani kuwa kila polisi hafuati sheria Kama wao shame on them. Ingelikuwa mimi ndie polisi ningelimjeruhi kidogo mguuni ili ajue nipo nawatumikia wananchi.
  7. marlingo msakaa

    Mugabe ktk ubora wake

    Wape babu[emoji108][emoji108] walifikiri unasinzia mpaka mdomo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. marlingo msakaa

    Lini walimu wapya wa sayansi tunapata cheque number?

    Piga kazi mkuu achauvivu wewe hata miezi miwili huna umeshaanza kulialia mshahara.Mshahara utaupata tu serikali haiwezi kukuajiri wakati inajua haiwezi kukulipa.
  9. marlingo msakaa

    Mkoa kipolisi ni suluhisho Rufiji na Kibiti?

    Kama ni hivyo intelijensia inabidi ihusike kiuweledi zaidi yakutumia hawa wa vaa sare kushughulikia hilo suala.
  10. marlingo msakaa

    Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

    "Hiyo nguvu unaitoa wapi kwa hali kama hii mkuu"
  11. marlingo msakaa

    Kama ulikuwa inataka kuwaona wahenga ndio hao hapo sasa

    Huyo wapili from left kavaa jiwe au ndio hilizi?
Back
Top Bottom