Kama ulikuwa inataka kuwaona wahenga ndio hao hapo sasa

Zjilala

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
427
417
6dc4e3c1fd9e0170ff92bb0be3c23c7c.jpg
 
Attachments

  • IMG-20170514-WA0002.jpg
    IMG-20170514-WA0002.jpg
    75.7 KB · Views: 56
``` 1. *Mwenzako akinyolewa tia maji.* -Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

2. *Barua ni nusu ya kuonana.* -Siku hizi watu wanaonana kwa watsap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

3. *Akili ni nywele.* -Vipi kuhusu Mawigi?

4. *Mchagua jembe si mkulima.* -siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi

. 5. *Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.* -siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. *Polepole ndio mwendo.* -siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki. *Hatupendi mambo ya kizamani...*
 
Namba moja hafi leo inafanya kazi hadi leo. Maana lengo la wahenga ilikua kukwepa kunyolewa hata kama hutaki. So ukitia nywele maji, hupati hekaheka
 
``` 1. *Mwenzako akinyolewa tia maji.* -Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

2. *Barua ni nusu ya kuonana.* -Siku hizi watu wanaonana kwa watsap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

3. *Akili ni nywele.* -Vipi kuhusu Mawigi?

4. *Mchagua jembe si mkulima.* -siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi

. 5. *Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.* -siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. *Polepole ndio mwendo.* -siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki. *Hatupendi mambo ya kizamani...*
"Ng'ombe hazeeki maini". Mhenga aliyesema hivyo alikuwa Na lake Jambo. Si bure
 
Back
Top Bottom