Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

Polisi wamewapa raia amri ya kutotembea kuanzia saa 12 jioni kule Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri. Wakati raia wanaingia majumbani kwao nyakati hizo za magharibi, polisi nao wanaingia kwenye mahema yao na kuwaacha magaidi wakitembea kwa uhuru na hivyo kumuua yeyote wamtakaye bila upinzani wowote.
 
JW ndo mwisho wa matatizo! Huko kagera kulikuwa na ujambazi sana kwenye pori kati ya muleba na biharamulo. Majambazi yalikuwa yamefanya kama nchi yao. Polisi waliokuwa wanasindikiza magari walikuwa wanauawa sana! Gari likitekwa polisi mwenyewe anajificha na silaha anaitelekeza!
JW walipoingia kazini mpaka mapango ya mawe yalisawazishwa!
Huku kibiti na mkuranga polisi wanaishia barabarani tu! Msituni yaliko majambazi/magaidi naona hawaingii! Mi naona kweli wanaume wenyewe wa JW waingie kazini! Hao magaidi/majambazi watajizika wenyewe kwenye mapango walimojificha maana wanaume watayasawazisha!
 
Nauga mkono chapisho lako bila kupindisha shingo.Limekuwa ni suala la kawaida jwtz kuchangia guvu kidogo yenye matokeo chanya kwenye operations.
Sematu kunabaadhi ya watu hawajaelewa, wao wanafikiri wataenda maafande takribani 200 rahasha.Halafu watu wanachelewa tu kuelewa kama hawa jwtz wako well trained kupambana katika maeneo tata (makazi ya watu) zaidi ya polisi.
Vilevile CCM wajifanyie tafakari na hata ikilazimika wadanganye wanarudisha kadi tena in public hasa ili kupunguza jazba kidogo ya hao magaidi katika kipindi hiki ambacho usalama wao umekuwa mdogo.
 
Troll JF,
Nadhani ulichoandika ni sawa kabisa na mada yako uliyoandika juu ya graduates kujiajiri kwenye kilimo

Hasa pale , ulipolinganisha graduates na rais msitafu, Dr . Kikwete kuwa yeye analima basi na graduates wakalime waachane na kutembea na bahasha au kujitolea ofisini.

Kwa kifupi , hujui uandikacho na hujui na labda hufahamu implication yake katika image ya nchi Kwa kutumia JWTZ katika operation hiyo .

Ama unajua lakini unajitoa ufahamu.
Wewe ndo unajitoa ufahamu! Hivi image ya nchi kwa askari wake 8 kuuawa na magaidi unaiona ni nzuri?
Hawa ni magaidi na si majambazi! Jambazi gani asiyepora Mali? Hawa dawa yao ni JW! Kwanza wakisikia tu kuwa wanaume wameingia kazini, wenyewe wanasepa!
 
Wananchi wapatiwe maeneo mengine na eneo hilo pawekwe kambi ya Jeshi.
Na kwa kuanzia ipigwe kura ya siri kuwabaini wanaoleta uvunjifu wa amani.
 
Mapolisi wa tanzania ni majing ajinga sana... hayana akili hata moja... hayajui namna ya kusolve situation na kutengeneza mahusiano na wananchi wao wanachoelewa ni kupiga pingu na kupiga watu tanganyika jeki..... yan hata kama hujaresist arrest yanakutwanga tu makofi.... yan kama yamesetiwa iv..
Dah....mkuu polis ni wapumbavu ila wew inaonyesha ni mpumbavu zaid. ...unataka polisi wakatengeneze mahusiano gani tena? ??
 
JWTZ wakienda huko watakachofanya ni kufyeka msitu tu. ...watu wagombanie viwanja. ..vita dhidi ya ugaidi haina identification. ..unatakiwa utumie inteligensia zaid kuliko nguvu. ..sasa hao JWTZ na police wapi wanaexperience kwenye haya maswala? ?
 
nyieb endeleeni tu kuwavamia raiya kwenye majumba yao na kuwachapa kuwabambikia kesi za mauaji alafu vichwa vinazidi kudondoka tu.
Wauaji au wahalifu ni watu tunaishi nao majumbani mwetu anaweza hata akawa ndugu yako wa karibu...na siku ukisikia amekufa kwenye tukio utashangaa.....

Jeshi letu litumie weledi kulimaliza hili....
 
Ccm walisema hawatatolewa kwa makaratasi. Kinachofanyika kibiti ni njia wanayotaka kung'olewa nayo.
 
Bila polisi kurejesha uhusiano mwema na raia itakuwa kazi bure , ushauri umetolewa na Mdau mmoja humu ndani anaitwa Paulo Alex , tafuta uzi wake umo humu , kila kitu kiko ndani ya uzi ule

Ubabe , kuongeza vifaru hakutasaidia chochote , pamoja na mateso ya wananchi ya kulalishwa kinguvu saa 10 mchana lakini bado mauaji ya kutisha yanaendelea .
 
Nauga mkono chapisho lako bila kupindisha shingo.Limekuwa ni suala la kawaida jwtz kuchangia guvu kidogo yenye matokeo chanya kwenye operations.
Sematu kunabaadhi ya watu hawajaelewa, wao wanafikiri wataenda maafande takribani 200 rahasha.Halafu watu wanachelewa tu kuelewa kama hawa jwtz wako well trained kupambana katika maeneo tata (makazi ya watu) zaidi ya polisi.
Vilevile CCM wajifanyie tafakari na hata ikilazimika wadanganye wanarudisha kadi tena in public hasa ili kupunguza jazba kidogo ya hao magaidi katika kipindi hiki ambacho usalama wao umekuwa mdogo.
Hivi mmejaribu kujiuliza kwanini hao wanaccm wanauliwa ?
 
Tukitumia jeshi tutaishia kuwa kama Kenya, kinachotakiwa ni kikosi maalum cha majasusi wa serikali aka intelligence (TISS commandos) kama wapo, wanaofanana na wale Spetsnaz wa Russia.

Russia Spetsnaz2.jpg
 
Majambazi hatimae yatasalimu amri tu,tusije tukatengeneza imaginary enemy,tukawatuma trigger happy force,tukaenda kupunguza wapiga kura halafu itafikia wakati tutakuja kujishangaa tumefikaje hapa.
 
Back
Top Bottom