Ndoa ni azma ya maisha yote kwa mume na mke, kila mmoja kwa mwenzie na kati ya wanandoa hao na Mungu.
Ndoa ni umoja wa maisha yote na pia ni ishara kati ya kristo na kanisa lake.
"Wale waliooana ni vyema wasiachane, mume na mke wanapoachana wanatangaza kuwa Mungu sio pendo. Kiapo cha ndoa ni...
Wajita hatuna mazuri mkuu? hasa hao wa kike...
Na unapo mchukia mtu acha kueneza sumu hiyo kwa wengine na kuijumuisha hiyo sumu na jamii nzima anayo tokea mtu huyo.
Na fahamu familia nying za kijita ambazo wanaishi baba, mama na watoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.