Recent content by MarkHilary

  1. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

    Valentina alikua mtu aliyependa kutengeneza marafiki. Mwaka 2017 tulikutana hapa JF baadaye akaniunga kwa WhatsApp group lake ila siku interested tukabakia kuwa marafiki kwa muda wote! Mara nyingi alikua akinialika endapo nikiwa Arusha tubadilishane mawazo ila ratiba zikawa ngumu hata niendapo...
  2. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

    Kama movement yote ile aliifanya akiwa hapa nchini basi litakua jambo la kushangaza sana! That's suicide
  3. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Je, Captain Tesha ni nani?

    Maria Sarungi amesema amethibitisha ni Cot wa JW kweli
  4. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    The way wanajeshi wanavyokua trained taifa kwao ni zaidi ya roho zao na mbele ya taifa lao hawajali kitu kingine chochote. Huyu jamaa inaelekea falsafa na saikolojia ya jeshi iliingia kwa DNA yake moja kwa moja! Waliomtrain huyu jamaa watakua very proud na hii product japo kisiasa atakua an...
  5. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Gari yako hiyo inanusa mafuta mkuu! Safi sana
  6. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine

    Somo murua
  7. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania CRDB mnazidi kupoteza uaminifu na Loyalty, kitu pekee kitachorudisha nguvu brand yenu ni "UWAJIBIKAJI", fanyeni haya lasivyo wengi zaidi watawakimbia

    Umefanyika uzembe mkubwa sana. CRDB wangepaswq kufanya PR vizuri na kuuandaa umme kwa muda wa kutosha kabla hawajasaasisha huo mfumo wao! Tumepata usumbufu mkubwa sana,pesa zetu hazijukikani zilipo na miamala mingi ya biashara imekwama au pesa zimetokomea kusikojulikana. Wahudumu wao hawana...
  8. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nikiri kwamba huu ni uzi nilioupenda sana kwa sababu unadadisi upande mwingine wa maisha tofati na tuliyofundishwa shuleni,kanisani na msikitini! Hata hivyo namlaumu mleta uzi huu adhimu kwa sababu ameutelekeza bila kuufunga kwa heshima stahiki zinazoendana na hadhi ya uzi huu Kama Arsis au...
  9. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

    Kwa mtazamo wangu CRDB hawakutumia ueledi kuwasiliana na umma kwa kina kabla ya kufanya hiyo upgrade yao! Usumbufu niliopata ulinifanya kwa mara ya kwanza nione bank sio mahali salama pa kutegemea ktk miamala ya biashara
  10. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

    Me wamekata pesa yangu kwenye akaunti!
  11. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Mshikaji niliyeajiriwa naye pamoja amenipa hasira sana wakuu

    Sasa kuna watu wanafanya biashara za kawaida mtaani akukupa hesabu yake ya mwezi ndio utadata zaidi. Jamaangu mmoja aliacha kazi ya ualimu 2019 sasa hivi ana biashara anatengeneza 50M+ kwa mwezi Haijalishi unafanya nini ila weka juhudi sana na ujitume nje ya box vinginevyo utaishia kutazama...
  12. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    They played a trick on you and you got caught in it (hiyo ndiyo tafsiri ya haya uliyoandika Yoga!) WTF?
  13. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa waibuka Familia ya Ndugai wakibishana kuhusu anapostahili kuzikwa

    Kwamba Ndugai hajaacha wosia?
  14. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    You Tube kwangu haifunguki hata kwa VPN
  15. MarkHilary

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Kumekucha! Kumekucha!
Back
Top Bottom