GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

CRDB Bank upgrades its Core Banking System to International Standards​

By: Niels Malangalila | Blog | September 8, 2025 04:52
CBS%20RELAUNCH.jpg

After 72 hours of upgrading the Core Banking System, CRDB Bank’s services have now resumed, better and faster, meeting international standards.

The Chief Executive Officer of CRDB Bank, Abdulmajid Nsekela, said the Bank made great efforts to ensure this was completed on time to restore services to its customers and other stakeholders across all platforms, as promised in its public statement issued on Wednesday, 3rd September 2025.

“CRDB Bank is an international institution, providing services in Burundi and the Democratic Republic of Congo (DRC), while finalizing arrangements to enter Dubai. You cannot provide services in all these countries without having a robust system that safeguards customer information and enables transactions with high efficiency. This is one of the reasons that led us to upgrade our core banking system. I am pleased to inform you that this exercise has been successfully completed,” said Nsekela. Nsekela explained that what took place during those 72 hours of migration from the old system to the new one was the transfer of all existing customer data and enabling the registration of new customers both within and outside Tanzania where CRDB Bank operates.

Recognizing that CRDB Bank serves millions of customers who received information about this upgrade at different times, he noted that all of them showed patience and allowed the management to implement the intended upgrade smoothly. “Due to the scale of the upgrade, which involved shifting from the old system to the new one, we had to suspend branch services and some alternative channels were temporarily unavailable.

I sincerely thank our customers for the patience and cooperation they showed us during this period, and I apologize for the challenges they encountered when some of our services could not be accessed,” said Nsekela.

Given that the Bank operates in different countries with variations in law, language, and culture, Nsekela said the new system allows CRDB Bank customers to access services in their preferred language and currency.

“In Tanzania, the official languages are Kiswahili and English, while in Burundi they use French and Kirundi. In the DRC, they speak French and other local languages, while in Dubai there is Arabic and other international languages. In all these places, customers will be served in their preferred language and carry out transactions in the currency of their choice,” Nsekela emphasized.

To address concerns from customers who noticed changes in their balances and other areas of service, CRDB Bank’s Chief Operating Officer, Bruce Mwile, explained that this was due to the migration from the old system to the new one, which has a higher level of security, the capacity to deliver new and innovative digital services, and was built in compliance with international standards. “Those who saw differences in their balances and other areas should understand that this was caused by the transfer of data from the old system to the new one. Our customers need to know that we were not just upgrading the system but migrating completely to meet the standards of other countries and international institutions we will be partnering with,” Mwile said.

Nsekela thanked stakeholders who participated in one way or another in making this upgrade a success, including the Bank of Tanzania (BoT), right from the initial stages until now.


This upgrade has been carried out as part of the ongoing transformation of CRDB Bank at a time when it is celebrating 30 years since its establishment, having significantly contributed to improving individual incomes as well as strengthening the nation’s economy.
1757412211290.jpeg
 
TOKA MAKTABA :

31 March 2022

CRDB bank aims at being a high standing bank in


View: https://m.youtube.com/watch?v=BMIiabIKRLU
CRDB bank aims at being a high standing bank in #Burundi. After a tenth annual general meeting held in Burundi between the bodies of CRDB bank group and customers of CRDB Burundi. It was an opportunity of celebrating good results achieved within ten years operating in Burundi. They mention that at the beginning they were on the 10th position while now CRDB bank occupies the 3rd position in the country.
 
MAGEUZI MAKUBWA YA CRDB Bank

TOKA MAKTABA:

4 June 2025
Kwanini benki ya CRDB inaongoza Burundi? Mwenyekiti wa Bodi atoboa SIRI zote!

View: https://m.youtube.com/watch?v=TywdqWZrySQ

Simulizi za miaka 30 ya benki ya CRDB zinaendelea. Tunazungumza na Hosea Kashimba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Burundi..
Source : Simulizi na Sauti
 
CRDB Bank kwenda na wakati kwa viwango vya kimataifa

28 May2025

Bruce Mwile| NGUVU YA NYUMA YA CRDB |Ana miaka 24 kwenye benki, Aliianzisha tawi la Burundi, Ni COO

View: https://m.youtube.com/watch?v=OQCuUvpzxF0

Bruce Mwile – Moyo wa Uendeshaji ndani ya CRDBKama Afisa Mkuu wa Uendeshaji (COO) wa benki ya CRDB, Bruce Mwile anasimamia takriban idara 8 muhimu zinazoiwezesha benki kusonga mbele kila siku.Katika sehemu hii ya Mahojiano ya Miaka 30 ya CRDB, tumekaa naye kitako kusikia:🔹 Umuhimu wa nafasi yake ndani ya mfumo wa benki...

Source : Simulizi na Sauti
 
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.

2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumamosi nimekupa hasara kwenye biashara yangu.
Wewe OktobaTUNATIKI si usubiri ukatiki kwenye uchafu hiyo oktoba?

Unalalamikia nini wewe..?
 
Benki unaleta udini eti SWAHIBA, MASWAHIBA wa Nani? daah. Haya kiko wapi? Kimewaramba mpaka mnyooke
 
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.

2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumatano nimepata hasara kwenye biashara yangu. Sijui nani atanifidia
System upgrade: Kuna taarifa za akaunti za watu wazito au maalumu, zitahitaji watu wachache kwa watumishi wa Benki kuzifungua (level of clearance) ili zikivuja inajulikana ni nani maana mliokuwa na access mnajulikana. Nawaza tu jaman🤔
 
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.

2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumatano nimepata hasara kwenye biashara yangu. Sijui nani atanifidia
OKTOBA TUNATIKI benki inaongozwa ki CCM.
Hao mafisadi kama wanavyoibuliwa na Mange, Polepole na Gwajima ni zao la CCM
 
System upgrade: Kuna taarifa za akaunti za watu wazito au maalumu, zitahitaji watu wachache kwa watumishi wa Benki kuzifungua (level of clearance) ili zikivuja inajulikana ni nani maana mliokuwa na access mnajulikana. Nawaza tu jaman🤔
Hivi yule dogo mtoto wa Angela mwenye 16 B akaunti yake iko CRDB?
 
Kwa mtazamo wangu CRDB hawakutumia ueledi kuwasiliana na umma kwa kina kabla ya kufanya hiyo upgrade yao! Usumbufu niliopata ulinifanya kwa mara ya kwanza nione bank sio mahali salama pa kutegemea ktk miamala ya biashara
 
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.

2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja wanataabika kwa kukosa huduma ila hawajali. Pesa inatoka kwenye akaunti ila huipati na call centre hawapokei simu wala nini. Toka Jumamosi - Jumatano nimepata hasara kwenye biashara yangu. Sijui nani atanifidia
Banking system conversion sio ngoma ya kitoto. Isipofanyika kwa usahihi, jinamizi lake ni la kuua mtu!
 
Yeah, siku zile taarifa zilipovuja kwa umma, ndo matatizo haya ya CRDB yakaanza.
Ndio kusema raia tunaumia ili kulinda jina la mtoto wa fisadi.
Tumefika mahali badala ya fisadi kushtakiwa, fisadi analindwa @ the xpns ya wananchi.
 
Ndio kusema raia tunaumia ili kulinda jina la mtoto wa fisadi.
Tumefika mahali badala ya fisadi kushtakiwa, fisadi analindwa @ the xpns ya wananchi.
Mkuu, hatima ya taifa lako umeibeba wewe hyo tarehe 29.10.2025, imagine miaka 5 tena ya uyu mama, hakuna uwajibikaji, wananchi wanaingia hasara kwa sababu ya CRDB, hakuna mtetezi, serikali kimya, hata ukienda mahakamani kwenye awamu hii kesi itakugeukia.
 
Back
Top Bottom