Recent content by marioB

  1. marioB

    Wiki hii Gwajima naona kafunikwa

    Where you at man teheeeeee teheeeee
  2. marioB

    Rais Magufuli ashiriki ibada ya Jumatano ya majivu Mt Petro

    Kama ni kwa kanisa Katoliki kwake yeye mama waziri ni sawa ila kwa muslims kama Maja ni mwislam as inavyoonesha kwa wasifu wake basi kuna shida mahali!!kiislam huwezi kua na mke anaenda church na mume unaenda msikitini huo ni uzinzi na hata itapofika holy month of Ramadhaan atakua hafungi rather...
  3. marioB

    Rais Magufuli ashiriki ibada ya Jumatano ya majivu Mt Petro

    Je ndoa ya waziri mkuu Majaliwa ni ya kiserikali ama? Mkewe ni mkatoliki while mumewe ni mwislam kwa sisi watu wa dini tunasema hakuna ndoa zaidi yaaaaaaa
  4. marioB

    Wanasiasa Wafuatao, Kisiasa Wamekufa Kifo Cha Mende

    Emanuel Makaidi alifariki kifo cha kawaida akiwa kamanda wa UKAWA una hila za kisukuma weye I wish I could be........
  5. marioB

    Ukame waangamiza mifugo Morogoro, Tanzania

    Huu ni uchochezi mshaambiwa wanaotoa hizo taarifa wamenunuliwa kwiiiiiii kwiiiiii hao ng'ombe wanyongwe tuu huko Morogoro
  6. marioB

    Mume wa mtu ananitatiza

    Hebu nipe #yako inbobo mie nitakua romantic na nitapenda tuwe tunachat na pia tukiwa wawili tutakua tunaongelea mapenzi mubashara as well as hatutofukua makaburi yako ya nyuma
  7. marioB

    Kwanini Lowassa amepotea baada ya kipigo uchaguzi mdogo? Ni aibu au amekata tamaa?

    Wamuulizia ili iweje nyie zoeeni majina ya Rc tuu co kuzoea kumuona Rais wa mioyo ya watu
  8. marioB

    Kamanda Sirro: Bado tunamshikilia Tundu Lissu,tunataka kuthibitisha kama alitenda makosa

    Siku upinzani ukichukua nchi kuna watu watahama nchi
  9. marioB

    Michepuko inavyoleta umasikini kwenye familia

    Mkuu Blessings michepuko ni hatari sana mm nimeachana nao since September 2016 ninajiona mwepesi sana maana matumizi ya mchepuko ni noma sana:- 1.Kila week 30,000/ Salon 2.Though yupo alone 20,000/ chakula daily 3.Luku ikiisha 20,000/ kwa mwezi 4.Kila baada ya week tatu uende kwao na mfuko wa...
  10. marioB

    Mwanachuo wa MUCE ajiua kwa kinachodhaniwa ni kukosa mkopo wa elimu ya juu

    Ila alikua mchuda sana R.I.P Matilda aka Matiridaa
  11. marioB

    Kuna siasa ndani yake tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya

    Kiukweli siasa imeingia ktk suala hili la Makonda kushika wasanii mwaka jana Makonda alikua na operation ya kufanya usafi ktk jiji la Dar es Salaam na akaita wasanii waje wampe support ktk kulisafisha jiji bahati mbaya ama nzuri muitikio ulikua mdogo sana kwa wasanii Makonda akajikuta anang'aa...
  12. marioB

    Mizengo Kayanza Peter Pinda

    Halafu kule machoni ana machozi mengiiiiiiiii ukimuudhi kidogo tuu alia huyoooooo ka n'toto n'dogo hadi afutwe machozi na kipande cha kanga
  13. marioB

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Daaaaaa!!mm nilitoa upepo badala ya matemate yanayovutika
  14. marioB

    Kwahali hii mvua itanyesha kweli ee mungu tunusuru waja wako

    Katika hili hausiki na wala hatohusika mwambieni wa kwenu awaite waje wafanye wanavyoweza maana km kaweza kuwapa tender waturuki na kuwaacha wachina hashindwi na lolote
Back
Top Bottom