Wanasiasa Wafuatao, Kisiasa Wamekufa Kifo Cha Mende

Cybercrime

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
3,246
1,113
1. James Mapalala na CUF
2. Mabere Marando na NCCR
3. John Momose Cheyo na UDP
4. Augustino Lyatonga Mrema na NCCR Mageuzi, TLP
5. Emmanuel Makaidi na NLD
6. Christopher Mtikila na DP
7. James Mbatia na NCCR Mageuzi
8. Zitto Kabwe na ACT Wazalendo
9. Ibrahim Harouna Lipumba na CUF bara
10. Seif Shariff Hamad na CUF Zanzibar

Woooooote hao ni Makanjanja, hakuna wa kumcheka mwenzake hata kwa jambo moja. Wote wamepitia mfumo ule ule wa kujifanya wwo ndo wana hati miliki na vyama vyao.

1. Mapalala, John Cheyo, Emmauel Makaidi, Ibrahim Harouna Lipumba na Mtikila, wao Dhambi hiyo imewafanya wamekufa kiume, wwmekufa(kisiasa siyo kiroho) wakiwa ndiyo wakuu wa vyama vyao japo wamekufa na vyama vimekufa.

2. Zitto Kabwe, Mabere Marando, James Mbatia na Seif Sharif Hamad wanakufa kwa aibu kutoka kuwa wakuu wa vyama hadi kuwa watumwa kwenye vyama vingine ilimradi tu waweze kuuutunza umaaarufu wao. Wao maslahi ya vyama vyao siyo issue, issue ni maslahi binafsi. Watalazimika kuwa Chambo kwa kila baya linalorushwa kwa vyama vya upinzani, si wanautaka umaarufu bwana? lakini wataupataje wakati wameshaviua vyama vyao? tuwatangulize kama Makruta wa mafunzo ya awali ya askari.
3. Augustino Lyatonga Mrema anabaki kuwa Mwanasiasa aliyeandika rekodi ya aina yake. Ni Mwanasiasa pekee tangu ahame kutoka katika Chama tawala amekuwa mgombea urais kupitia upinzani wakati huo huo katika maisha yake yote katika upinzani akiwa ni Mwenyekiti wa Vyama vyote alivyoviongoza vya upinzani. Ameandika historia ya nyingine ya ya kuvunja rekodi ya James Mbatis ya kupata uteuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mpinzani.

Narudia. Wanasiasa wasipobadili mtindo wao wa kuwa wwmiliki wa Vyamna badala ya kuvifanya vyama kuwa taasisi, mwisho wake ni kufa KIFO CHA MENDE.
 
Kwa seifu sharifu ni ndoto kwenu CCM, huyo ataendelea kukusumbueni kule zanzibar labda ifike siku yake ya kufa mtapata nafuu
 
Emanuel Makaidi alifariki kifo cha kawaida akiwa kamanda wa UKAWA una hila za kisukuma weye I wish I could be........
 
€££€%%%65^[€£₪₪„„%[€€$„„„”„[%#0EE€££ E%##%%%[££$”=#%
UZI WA KIJINGA SANA HUU TANGIA IANZE JF HUU NDIYO WA 1
Unawaweka mpaka waliokufa? Edit thread yako kbla haujafutwa
 
Mbowe-kutoka kuwa mwanasiasa hadi kuuza unga mitaani na chama chake kukiuza kwa Lowassa bila kujua
Lowassa-kutoka kuwa mwanasiasa na fisadi namba moja na kununua chama ili aende ikulu bila agenda za msingi
Wapi wamempekua wamekuta ana madawa au anajihusisha na uuzaji madawa??? Unaweza thibitisha madai yako haya mahakamani?? Ina maana una taarifa kulikp polisi na makonda???
 
Mbowe ni Host wa Wauza Unga kwenye Hoteli yake, hilo nalo ni kosa
 
Wapi wamempekua wamekuta ana madawa au anajihusisha na uuzaji madawa??? Unaweza thibitisha madai yako haya mahakamani?? Ina maana una taarifa kulikp polisi na makonda???
Usibishane wanachama wa cha machambazi. Mkuu mshahara wako hawajalamba 15% ya HELSB?
 
Mbowe-kutoka kuwa mwanasiasa hadi kuuza unga mitaani na chama chake kukiuza kwa Lowassa bila kujua
Lowassa-kutoka kuwa mwanasiasa na fisadi namba moja na kununua chama ili aende ikulu bila agenda za msingi
umeandika uj.inga akili zako zinakaribia kuwa kama hii avatar yako
 
Back
Top Bottom