Anawasiwasi gani,Huku kaasali,kule kang'ombe,pole ka zabibu,huko kashamba ka mbiga na vimahindi vya kuchoma kuongeza joto mwilini.Ukweli napenda maisha yake niyakawaida saana,hanatofauti na wengine waishio vijjjni-kasoro yeye alikua kiongozi tu.
"And in his judgement there is no partiality....."Bob Marleyeveryone has a right to decide his own destiny " Bob Marley
Unaongea na mimi au unaongea na simuMkuu ulikua mzazi au?mbona umekua kama Puto

Hawezi kurudi huko.Hahaha inabidi na mzee mamvi nae afanye alioahidi arudi zake monduli siasa awachie vijana. Mzee kachoka ingebidi apumzike nae alee wajukuu!
Safi sana Mzee Pinda
Anapiga kazi hataki shida na watu.Duu yupo kimyaa sana..
Mkuu unawezaje kujua kuwa Mwanaume mwenzio kachoka?Hahaha inabidi na mzee mamvi nae afanye alioahidi arudi zake monduli siasa awachie vijana. Mzee kachoka ingebidi apumzike nae alee wajukuu!
Safi sana Mzee Pinda
kumbe ushamba nao ni sifa?Kuna yeye, Mizengo Pinda, na kwa kiasi kikubwa pia, mzee Phillip Mangula. ...
Why awe na four names!?Huyu mzee pamoja na mapungufu yake namkubli sana,anaishi maisha anayotaka mwenyewe,yani hana madoido kabisa.
Naikubali sana style ya maisha yake.
![]()
![]()
Halafu kule machoni ana machozi mengiiiiiiiii ukimuudhi kidogo tuu alia huyoooooo ka n'toto n'dogo hadi afutwe machozi na kipande cha kangaAnawasiwasi gani,Huku kaasali,kule kang'ombe,pole ka zabibu,huko kashamba ka mbiga na vimahindi vya kuchoma kuongeza joto mwilini.Ukweli napenda maisha yake niyakawaida saana,hanatofauti na wengine waishio vijjjni-kasoro yeye alikua kiongozi tu.