Mkoa wa katavi hasa manispaa ya Mpanda umeme unakatika kila siku mida ya saa 11 jioni na saa 2 usiku lakin hatujawahi kuambiwa tatizo ni nini? Tanesco semeni tatizo basi wananchi tujue kwamba katika huo muda kuna
Umenikumbusha mbali sana back on 2014 hivi vidude vinatesa kisaikolojia, nilipona kwa tiba asilia nilipewa na mdau kama masizi ya mkaa sijui ilikuwa ni dawa gan unachanganya na viksi kingo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.