HISTROIA YA KILE KINACHOITWA UGONJWA WA UKIMWI
Sehemu ya 2️⃣
Dr. Dogoli kinyamkela 💀☠️
👉Historia ya HIV/AIDS. (Ukipinga pinga kwa hoja na evidence)
Hapa sitazungumzia sana Historia ya HIV/AIDS kwa sababu kuna maelezo tofauti ambayo yote ni ya kufikirika na hayana mashiko kwa sababu yote yameegemea kwenye HIV kama ndiye chanzo cha tatizo la UKIMWI ilihali si kweli...
HIV hana uwezo wa kusababisha ukimwi na haambukizwi kwa njia ya ngono Kuna watu wanasema HIV/AIDS imeanzia kwa mashoga huko Marekani, wengine husema imeanzia kwa nyani/sokwe wa misitu ya Congo na wengine wanasema imetokana na chanjo ya polio Afrika , Hizi zote ni hisia na zimeegemea kwenye kitu cha kufikirika (HIV) ambacho hakiwezi kuasababisha ukimwi.
Watu walijidanganya kwa kusema kwamba HIV/AIDS ilianzia kwa mashoga kwa kuwa sababu iliyosababisha AIDS kwa mashoga ni tofauti kabisa na HIV, madawa waliyokuwa wakitumia mashoga ndio sababu halisi na ya kweli iliyowasababishia AIDS (UKIWMI) ..
Pia kuhusu HIV/AIDS kuanzia kwa nyani/sokwe au chanjo ya polio, hii si kweli kabisa, lengo lao hapa ni kusambaza uvumi kwamba HIV ni kijidudu cha kutengenezwa ambacho kimesambazwa kwa makusudi ili kudhuru watu ili kutimiza malengo ya waliosambaza/Walioeneza uvumi huu walitaka watu waamini kwamba kweli kuna kirusi cha aina hiyo kinachoitwa HIV na kinasababisha AIDS...
Ukweli ni kwamba, hakuna kirusi HALISIA na wala CHA KUTENGENEZWA chenye uwezo wa kusababisha AIDS/Ukimwi kinachoitwa HIV, Ila hawa RETROVIRUS wapo, lakini hawana uwezo wa kusababisha Ukimwi / na hakuna Kirusi DUNIANI chenye Uwezo wa Kusababisha AIDS/UKIMWI , Narudia Tena UKIMWI hausababishwi na kirusi na wala hauambukizwi, thats all kama Unabisha Njoo na Ushahidi
Ngoja Niwarudishe Nyuma Kidogo Robert Gallo Mgunduzi wa HIV (Mimi naiita feki) Baada ya kuclaim kwamba HIV inasababisha UKIMWI alichokifanya ni kupita mlango wa nyuma kwa kukwepa kiunzi cha PEER REVIEW SCIENCE yaan uthibitisho wa pamoja wa wanasayansi kuthibitisha kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI...
Na hakufanya hivyo kwa bahati mbaya, alikuwa anajua anachokifanya kuwa hakiko sahihi, kwasababu huyu huyu Robert Gallo aliwahi kuclaim kuwa RETROVIRUS AINA YA HTLV 1 wanasababisha kansa kwa binadamu katika miaka ya 70 lakini Peter Duesberg na wanasayansi wengine walikuja na critics, Gallo akashindwa KUTHIBITISHA KUWA HTLV1 ndiyo sababu ya kansa.
Kwahiyo kinachoonekana hapa huyu Gallo alikuwa na kirusi chake tayari ambacho alikuwa akikitafutia ugonjwa wa kuuambatanisha, alijaribu kufanya hivyo kwenye ugonjwa wa kansa akafeli, sasa Akaja kufanikiwa kwenye UKIMWI, lakini amekuja na jina lingine sio HTLV1 tena ni HTLV3 baada ya kumodify cell line za kirusi cha LUC MONTAGNIER ambacho kilijulikana kwa jina la LAV..
Na baada ya kuclaim kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI, zile test result zake hazikuwekwa wazi mpaka baada ya wiki moja kupita tangu kuitisha PRESS CONFERENCE na kuutangazia ulimwengu kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI. Hazikuwekwa wazi kwasababu alijua WANASAYANSI WENZAKE WANGEKUJA NA CRITICS sababu alichokifanya ni ulaghai.
Kwahiyo press conference ilifanyika tarehe 23 April, 1984, lakini test results zilikuwa published kwenye science magazine tarehe 4 May, 1984. Na matokeo ya results yalikuwa kama ifuatavyo;
Only 44 of 93 AIDS patients tested had the virus (LESS THAN HALF)
Reference on Science Vol.224 May 4, 1984
Sasa ukitazama hiyo result ya Gallo hapo inaonesha kwamba kati ya wagonjwa 93 wa UKIMWI ambao walikuwa tested ni wagonjwa 44 WALIKUTWA NA HIV..
Sasa swali linakuja, wagonjwa 49 waliobaki ambao hawakuwa na HIV, kitu gani ambacho kilisababisha ukimwi kwao ?
Na kama HIV ndiyo major role kwenye kusababisha UKIMWI, kwanini hao wagonjwa 49 waliobaki hawakuwa na hiyo HIV ?
Tatu kwanini waanzilishi wa nadharia ya HIV/AIDS wame conclude kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI wakati zaidi ya nusu ya wagonjwa (Wagonjwa 49) ambao walikuwa tested hawakuwa na hiyo HIV?
Nawaacha na Maswali hayo Tuendelee
👉 HIV/AIDS Hypothesis.
HIV anasemekana kusababisha AIDS kwa sababu kuu 1 ambayo ni kuua T-cells
👉 Wagunduzi wa HIV wote wawili hawana uthibitisho wa kisayansi kuonesha kwamba HIV anaua T cells, na hawawezi kuelezea pia ni kwa njia gani HIV anaua T cells, Robert Gallo ametangazwa kuwa mgunduzi wa HIV mwaka 1984 kwenye press conference na Margareth Heckler kwa kusema kwamba The probable cause of AIDS has been found bila hata ya uthibitisho mmoja wa kisayansi ambao umechapishwa mahali popote ili wanasayansi wengine kama yeye na waliomzidi yeye waujadili...
Na mpaka leo hii tunavyozungumza, hakuna uthibitisho wa kisayansi unaothibitisha kwamba HIV anasababisha ukimwi kwa KUUA T CELLS, HAKUNA..
Mgunduzi mwingine aliyefanya kazi pamoja na Robert Gallo ambaye anashiriki hatimiliki ya ugunduzi wa HIV na Robert Gallo, Luc Montaigner, yeye mwenyewe anakiri kwamba hawawezi kuelezea ni kwa vipi HIV anaua T cells, kwa maana hiyo hawajui. Pia Luc Montaigner anaendelea kuthibitisha kwamba hata kama kweli HIV ataingia kwenye mwili wa mtu, anaweza kuondolewa na kinga ya mwili kama kinga itakuwa vyema/imara, Luc Montaigner ndio mgunduzi halisi ambaye data zake ziliibwa na Robert Gallo na kumfanya R.Gallo awe wa kwanza kutangazwa ndiye mgunduzi, Lakini hicho walichokigundua pia ni cha kufikirika na si kweli kwamba walikiona, ili ujue ukweli huu inabidi uingie kwa undani kidogo, Pia mwanasayansi nguli anayepinga kuhusu HIV/AIDS hypothesis Prof.Peter Duesberg anasema kwamba
HIV hawezi kusababisha ukimwi na haambukizwi kwa njia ya ngono,na anaendelea kusema kwamba HIV huondolewa na kinga ya mwili mara baada ya kuonekana na kinga ya mwili..
Nadhani mnajionea wenyewe jinsi mgunduzi wa HIV Prof.Luc Montaigner na Prof.Peter Duesberg anayepinga HIV/AIDS hypothesis walivyoenda sawa kuhusu HIV kuweza kuondolewa na kinga ya mwili tofauti na vile tulivyodanganywa huko nyuma kwamba HIV akiingia mwilini hatoki maisha yako yote...
👉Kwa maana hii basi, mtu huna haja ya kutumia ARVs zenye sumu hata kama umepimwa HIV+ kwa kuwa ukiijenga kinga yako utakuwa umemwondoa HIV mwilini, Hakuna uthibitisho kwamba HIV anaua T cells.Pia HIV huondolewa na kinga ya mwili bila kutumia dawa yoyote
👉 Link- Prof.Peter Duesberg:
View: https://www.youtube.com/watch?v=xJXIbZxNLho
Link-Prof.Luc Montaigner:
View: https://www.youtube.com/watch?v=PyPq-waF-h4
👉 Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR),Prof.Kary Mullis HAKUBALIANI KWAMBA HIV ANASABABISHA AIDS
View: https://www.youtube.com/watch?v=IifgAvXU3ts
👉Kilichofanya HIV/AIDS iwe maarufu na watu waiogope ni matangazo ya muda mrefu kwenye vyombo vya habari yaliyoendana na kuonesha video za kutisha, Marekani ni nchi yenye uwezo mkubwa wa kutengeneza propaganda kuliko ule wa kipindi cha Adolf Hitler...
LEO TUISHIE HAPA SEHEMU YA TATU TUTAANGALIA VIPIMO VYA HIV, NA HAPO NIMEKUWEKEA EVIDENCE ILA NAJUA WAPO WAFIA PROPANGANDA WATAZIKATAA , YAANI WAKO TAYARI KUMKATAA MGUNDUZI ILA WAKAKUBALI ALICHO KIGUNDUA .