Recent content by mariki.jr

  1. M

    Kubenea wewe ni mwandishi, mwanaharakati au mwanasiasa?

    utaelewa baaadae endelea kusubiriii,watu tunachukua nchi taratibuuu
  2. M

    Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    huyu mzee kama ni kuzeeka anazeeka vibaya!!!!! hata sina comment!!! nisije nikamnenea maneno ambayo hayana staha,kwani mm c kama yeye
  3. M

    Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    naona mwigulu umecchukua defn. kwenye google... yani huyu jamaaa sijui nimuite jina gani maana ni zaidi ya mchawi...! halafu kinachoniudhi zaidi kwa huyu ni kumtaja Mungu kwenye mambo yake ya uongo na ufezuli....!
  4. M

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    mtakaa sana nyie ccm!!! hapa ni mwanzo tuuuu!!!! subirini 2015
  5. M

    Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

    haya bhana kweli nitakupa kesi nitakayo mm imetimia....! mh!!!
  6. M

    Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    huyu jamaa hanaga akili kabisaaaa,kuna kipindi wanafunzi wa UDSM walitaka wamuadabishe kwa kuropoka...!
  7. M

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    we nape sidhani kwamba kabla ya kuongea na kuandika unafanya vikao binafsi kichwani, manake unaropoka tuuu...! Nina shaka na uwezo wako.....! think big like a man...!
  8. M

    CPA siku hizi bado ina advantage?

    mdau nenda kachukue...! ukiona haikusaidii unaitupa...! ha ha ha ha ha!!!! dogo anachekesha, mbona anawaza ajira kivile... watu kama hawa ndo wanasuguaga bench hadi wakome...!
  9. M

    Mke wa jamaa ananisumbua

    achana na wake za watu mdau..! hawa watu hawafai kabisaaaa, wakikolea hawaambiliki kabisa so, dn dare to test!!!
  10. M

    CHADEMA, acheni kurandaranda mijini,nendeni kwa wapiga kura vijijini.

    hoja yako kaka hujafanyia utafiti kabisa, hebu jaribu kufuatilia habari then after like 2months utajua ukweli upo wapi mukuu...! in short inatakiwa kabla ya kuweka mada jamvini you have to think big na kuwa na info za kutoshamdau...!
  11. M

    Tendwa awa msemaji wa CCM; aishambulia CHADEMA

    wanajamvi huyu mtu mbona anatuumiza kichwa wakati hakuna mtu asiefahamu kuwa anafanya kazi ya CCM...! yatampata yanayompata mtu yeyote mwovu...!
  12. M

    Hawa wanaitwajwe kwa kiswahili na kidhungu?

    nungunungu...!
  13. M

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    pole sana but haya mambo hayanaga uzoefu....! once it comes it come in different ways, na huwezi jua hata siku moja mwanaume/mwanamke mkweli until you come together...! once again pole sana....! cha muhimu tulia tazama mbele siku zooote...!
Back
Top Bottom