Tendwa awa msemaji wa CCM; aishambulia CHADEMA

Tendwa awa msemaji wa CCM; aishambulia CHADEMA

Istoshe huyu mzee anatakiwa aangalie jinsi gani wenzetu Kenya walivyohama toka analogia kwenda Digital kwenye kura za uraisi. Na matokeo yanaonyeshwa mapema asubuhi.
 
Huwa ananikera anavyoremba sauti mpaka basi.
Huyu jamaa alifaa kufanya kazi na Lundenga wa mamiss.
 
hv huyu mzee si ni yule ambaye akilewa ana pigwa na mke wake makofi na huo ni ukwel kwa sababu namfahamu muda mrefu sana yeye akapumzike hizi siasa atuachie sisi vijana

......

Ha Ha Ha, nimecheka kweli. sijawahi kusikia stori zake, lakini inawezekana kwa sababu always ukiona mwanaume anapenda kushambulia watu nje, basi ujue home anafyata, hata nazi anaweza kuwa anakuna.
 
The simple fact is: Tendwa ni mteule wa Rais na amethibitishwa kuongoza ama kusimamia vyama vya siasa na Rais pia, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Tawala.

Hivyo hakuna cha kushangaza kwa hayo anayoyafanya ni haki na hakika kwa yeye kuyafanya. Mathalani masuala ya Udini na Ukabila, ukanda hajakemea kwa sababu yana maslahi na ofisi ya yake i.e maslahi na mkuu wake wa kazi aliyemteua!!

Mbona hajawahi kulalamikia kwa dhati juu ya rushwa ndani ya vyama! Sababu anajua ni chama gani kinaongoza katika hilo.

Nadhani bila kuwepo CHADEMA na CUF Tendwa asingekuwa na kazi wala pia kuwa na haja ya kuwa na Msajili wa Vyama vya siasa.

Ila hataweza kujirekebisha sababu somewhere somehow usijeshangaa akigombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo mojawapo akimaliza muda wake wa kuhudumu kama IGP wa zamani MAHITA, na akina GEWE, Kamishna Kanda Maalumu DSM. Ni Mawazo tu lakini..ni mtazamo tu katika kutoa maoni yangu.......
 
Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, mzee John Tendwa ambaye ni msajili (mlezi) wa vyama vya siasa nchini amekosoa harakati mbalimbali za kisiasa zinazoendeshwa na CHADEMA nchini na kusema kuwa hazina tija zaidi zinachochea vurugu.

Kuhusu 'Operation sangara' ameikosoa akisema CHADEMA wameharakisha kufanya hivyo kwamba watachoka kabla ya uchaguzi hivyo kuifanya kutokuwa na manufaa yoyote. Kuhusu M4C, bila kufafanua vizuri, amesema haina tija yoyote kwani haijaandaliwa vizuri kwa vile CHADEMA wamekurupuka!

Binafsi namshauri mzee Tendwa afanye kazi yake ya usajiri na ulezi wa vyama vya siasa. Wananchi tumeona jinsi M4C na operation sangara zinavyowaamsha watanzania kujua na hatimaye kudai haki zao juu ya matumizi sahihi ya rasilimali za taifa.

......

Huyu mzee amezeeka vibaya na sasa anatakiwa akajifunze kwa majirani zetu kenya pia hiki Cheo inatakiwa kiwepo kwenye katiba mpya!
 
TENDWA NI DHAIFU NA MCHOCHEZI KAMA ALIYEMTEUA

SIJUI POLISI WANASUBIRI NINI KUMKAMATA?

Ooo! SORRY KUMBE IGP PIA DHAIFU
 
Mbona hicho kipindi hakiwaaliki wapinzani? kila siku naona tu maccm peke yao. Hebu wawalike siku moja kina Slaa, Mtikila, Mbatia , TL na Lipumba. Naona wana promo magamba tu.
 
hv huyu mzee si ni yule ambaye akilewa ana pigwa na mke wake makofi na huo ni ukwel kwa sababu namfahamu muda mrefu sana yeye akapumzike hizi siasa atuachie sisi vijana

Muacheni tu. Muda si mrefu "ISRAELI" atampeleka alikompeleka KIVUITU
 
Hiyo ofisi inatakiwa kufutwa, mambo kama Uchaguzi, usajili wa vyama vya siasa, mambo ya mipaka ya majimbo na mikoa au wilaya, kata, vijiji na nchi yawe chini taasisi moja. Hakuna haja ya kuweka watu waliostaafu kama watendaji wa hizi taasisi. They are tired of thinking, they don't need to be there. For the interested of fairness, Tendwa hatakiwi kukosoa chochote kuhusu movement za vyama vya siasa kama haziko kwenye terms za kazi zake.
 
Tendwa ni miongoni mwa wale wazee waoga wa mabadiliko,dunia ya sasa hii.wanafiki wamepata vyeo kwa kujikomba,wakiona mabadiliko wanatokwa jasho,Hebu tumuulize yeye ktk maisha yake hadi uzee huo ALIPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA ? au alishuhudia kukabidhiwa bure tuu bila jasho?Tendwa kizazi hiki ni mkiki mkiki sio lele mama kama enzi zenu za yes yes!
 
Tendwa ukiambiwa hujielewi hujijui utasema umetukanwa. Acha ujinga
 
Tendwa hana kazi, the guy is idle and an idle mind breeds evil!

CDM is the in thing, lazima aongelee CDM kwani mti wenye matunda mengi ndio hupondwa mawe mengi!!

CDM haina mpango kumuajiri wa Tendwa kama mshauri wake (consultant); let him not waste his breath! it is unwaranted.
 
wanajamvi huyu mtu mbona anatuumiza kichwa wakati hakuna mtu asiefahamu kuwa anafanya kazi ya CCM...! yatampata yanayompata mtu yeyote mwovu...!
 
Characteristics za Mashoga wakizeeka huwa na tabia ya upayukaji na kupepeta umbea kupitiliza...mpotezeeni tu huyo kikongwe....Msipoteze muda kumjadili ...
 
Tendwa nilitegemea ataongea hivyo.Kama aliwahi kutishia kukifuta CDM atashindwa kukiponda.Mlezi gani anayemsakama mtoto mmoja?Kweli uzee siku hizi si busara.Hv ni kweli Tendwa hajaona umuhimu wa kulizungumzia swala la Mwigulu kuwa ana cd ya CDM ya mpango wa mauaji kitu ambacho ni uchochezi?Vp akina mwampamba na shonza wanavyoneza udini na ukabila?Nawasikitikia sana sana vyama vua siasa maana kama mlezi wenu ndio huyu bora mkawa bila mlezi.Naanza kuamini msemo kuwa mtu anapozeeka akili inarudi kuwa mtoto
 
Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, mzee John Tendwa ambaye ni msajili (mlezi) wa vyama vya siasa nchini amekosoa harakati mbalimbali za kisiasa zinazoendeshwa na CHADEMA nchini na kusema kuwa hazina tija zaidi zinachochea vurugu.

Kuhusu 'Operation sangara' ameikosoa akisema CHADEMA wameharakisha kufanya hivyo kwamba watachoka kabla ya uchaguzi hivyo kuifanya kutokuwa na manufaa yoyote. Kuhusu M4C, bila kufafanua vizuri, amesema haina tija yoyote kwani haijaandaliwa vizuri kwa vile CHADEMA wamekurupuka!

Binafsi namshauri mzee Tendwa afanye kazi yake ya usajiri na ulezi wa vyama vya siasa. Wananchi tumeona jinsi M4C na operation sangara zinavyowaamsha watanzania kujua na hatimaye kudai haki zao juu ya matumizi sahihi ya rasilimali za taifa.

Hivi ninyi hamshauriki?
 
akili yake na ufahamu zimeshaanza kupungua soon atapoteza kumbukumbu.
inabidi msajili wa vyama achaguliwe na viongozi wa vyama vya siasa vilivosajiliwa na sio kuchagulia na CCM.
kila chama kitawakilishwa na mwenyekiti na katibu wake.
hii italetea uwajibikaji.
 
Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, mzee John Tendwa ambaye ni msajili (mlezi) wa vyama vya siasa nchini amekosoa harakati mbalimbali za kisiasa zinazoendeshwa na CHADEMA nchini na kusema kuwa hazina tija zaidi zinachochea vurugu.

Kuhusu 'Operation sangara' ameikosoa akisema CHADEMA wameharakisha kufanya hivyo kwamba watachoka kabla ya uchaguzi hivyo kuifanya kutokuwa na manufaa yoyote. Kuhusu M4C, bila kufafanua vizuri, amesema haina tija yoyote kwani haijaandaliwa vizuri kwa vile CHADEMA wamekurupuka!

Binafsi namshauri mzee Tendwa afanye kazi yake ya usajiri na ulezi wa vyama vya siasa. Wananchi tumeona jinsi M4C na operation sangara zinavyowaamsha watanzania kujua na hatimaye kudai haki zao juu ya matumizi sahihi ya rasilimali za taifa.

wazee wa CCM wameishiwa hekima.Huwezi kumshauri mpinzani wako atumie mbinu gani na kwa wakati gani humshambulie.Tendwa ana chofanya kimepitwa na wakati kwani aliteuliwa akiwa ameshachoka
 
Back
Top Bottom