nikiwa na uchungu mwingi moyoni NAUNGA MKONO HOJA
bila madaktari kugoma tena ile kisawasawa serikali haitawatendea haki hence watatuhudumia ovyo ovyo mwisho wa siku COMPLICATED matatizo ya afya hayataisha
sorry kwa kubadili sredi
Katika Bunge la Tanzania tokea lianzishwe halijawai kuwa na kilaza anayemzidi LUSINDE kwa ukulaza
Mama mzazi wa LUSINDE nadhani anajiskia aibu kila huyu mwanao anaposhika kipaza sauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.