Wabunge wa zamani walikuwa hamnazo kabisa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa zamani walikuwa hamnazo kabisa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Deo Corleone, Jan 23, 2012.

 1. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,655
  Likes Received: 2,511
  Trophy Points: 280
  Nimesoma gazeti la raia mwema la wiki iliyopita, kuna article ya mihangwa ina sema kuwa baadhi ya wabunge walisema bungeni kuwa wawe wanapigiwa saluti na polisi. Mwingine akaua akasema wawe wanapewa majina ya mitaa,kwa mfano mtaa anaokaa saint ivuga upewe jina la lusinde wa mtera au john komba! Au mtaa wa kina ms upewe jina la lema, yani kuwe na lusinde street, lema street n.k
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kwa mpango huo mitaa ingekuwa inabadilishwa majina kila baada ya miaka mitano!
  Kwani kila mbunge mpya anayechaguliwa angedai mtaa wake, na hapo hapo
  ukumbuke kuwa idadi ya wabunge inaongezeka kila kukicha kwani wanaongeza
  majimbo ili kupeana ulaji...
   
 3. m

  mariantonia Senior Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sorry kwa kubadili sredi

  Katika Bunge la Tanzania tokea lianzishwe halijawai kuwa na kilaza anayemzidi LUSINDE kwa ukulaza

  Mama mzazi wa LUSINDE nadhani anajiskia aibu kila huyu mwanao anaposhika kipaza sauti
   
 4. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,655
  Likes Received: 2,511
  Trophy Points: 280
  wapo but lusinde ni zaidi yao,
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wa leo hii kuamua kujipandishia mishahara ndo wana akili???
   
 6. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,655
  Likes Received: 2,511
  Trophy Points: 280
  hata hao asili ya jina lako hawana akili!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Bunge is never boring - Revised without consent ya The Boss
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  siku hizi hadi waziri mkuu anasema uongo bungeni..
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mandela Road
  Mkapa Bridge
  Kikwete Secondary
  Ally Hassan Mwinyi Road
  Lusinde Street

  Yaani tabu tupu. hii itakuwa ni kubaka asili ya mtanzania.
   
 10. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mi mwenyewe nikiwa rais...inshallah!Mnyaz Mungu atajalia.eneo la Masaki nitaibadili nakuanza kuitwa Matumbo..
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wachague majina ya viungo tuwape. Mwenzao masaburi kashapata lake. Lol.
   
Loading...