Kwanini wanaume waoga? wanataka wanawake wazembe wazembe tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanaume waoga? wanataka wanawake wazembe wazembe tu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Golden Mpoleeee, Jan 23, 2012.

 1. Golden Mpoleeee

  Golden Mpoleeee JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Golden Mpoleeee anatisha wake kwa waume. kisa? anajiachia. Mwanamke anapofanya mambo wanaume wanafanya utaitwa wewe mwanaume. hivi kama mm mwanamke kama nimeweza y useme ni mwanaume wakati biologia ya chini inaonesha wazi kabisa mm ni mwanamke. Ukiwa wazi kusema kitu gani kinakufurahisha hasa kwenye kuduu umewasha moto. Ukiwa wazi kumtokea mwanaume ukimpenda huyu mwanaume hata kama mjanja atanyweeeeeea au akikukubali anakuja tu kukuonja anaogopa kutia kambi. Kwa nn wanaume ni waoga kwa wanawake wanao jitambua jamani??? Jirekebisheni basi hizi ni nyakati za equal rites. Nakuja baadae kuona majibu yenu hasa nyie wanaume ambao wengi ni waoga, ngoja nikafanye test Lecturer wetu mnoko ukichelewa.


  Golden Mpole, mbunge mtarajiwa. mzuri na mpole.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mafahali mawili hawakai zizi moja...wanaume wote wanaaamini wanawake ni dhaifu, pindi utakapoonyesha you differ to their belief, you're lebelled differently.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kuwa wanaume ni waoga kwa wanawake wanaojitambua, wengi huwa waoga kwa wanawake wasiotulia!
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Golden Mpoleeee hii dunia dear ita evolve na kubadilika kila kitu kwa ujanja na utukutu wa wanadamu.... But Dearest Mwanaume siku zote atabaki kua mwanaume, ni kweli kua tumesonga mbele na kuna the so called "equal rights" kama ulivoongelea; but ukweli ni kwamba hapa we deal more with basic equal rights... Naamini kua katika insititution yoyote ile ni lazima kuwe na kiongoz ambae anakua na madaraka zaidi (sio lazima saana) kuliko wengine katika hio institution. Inapokua kua katika mahusiano ya wapenzi iwe ndani ama nje ya ndoa woote muwe 50/50 katika kila kitu.... Mashindano kati yenu ni inevitable hivo basi survival ya hayo mahusiano inakua doomed.

  B2T You are right kua men are threatened by such. Ila kumbuka kua wanaume wengi wanapenda wawe in control na aweze kuhandle and take care of you as his woman. Not necessarily like a baby lakini kama his responsibility.... Kuna mambo yatachukua mda saana kubadilika na kukubalika katika jamiii, hio ni kama kua wazi na kumtogoza mwanaume na maybe hata ukamwambia kua umuoe.... Na nakwambia dear... ukikuta such a man na akakubali.... Hilo ni zigo sio Mwanaume (atleast that is my IMO) For a man with dignity and pride (hasa wanaume wetu wa Kiafrica hawa); hua hawependi akutegemee, ama uwe vulgarly open (labda katika the sex act) or kuonesha kua huna soni (for I believe mwenye soni hawezi fanya hivo hata kwa mwanaume mwenyewe).

  USHAURI: Golden Mpoleee kua mbunge you have a long way to go. Kama mbunge ukiwa unasimamia vitu kama mabinti wawe kama the way unapotray.... Sijui labda nakosea but nakwambia people will lose confidence in you for the simple reason kua watoto wao kuwakilishwa na wewe ni kama vile disaster. you are serious about being a mbunge you need to look very well at your self na the things you stand for.

  All the Best katika Test yako na career ya kua Mbunge.
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Najitahidi kukusoma lakini sijakuelewa.
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,109
  Trophy Points: 280
  mbenge mtarajiwa ukiwa unawaza ngono hujaupata ubunge, ukiupata si utataka uzini na kila mwanaume wa jimboni kwko? Naomba kuanzia leo nikuuite jezebeli, mnafanana tabia
   
 7. m

  mariantonia Senior Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna mwanaume mwoga????????
   
 8. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jitahidi dada! kasi unayokuja nayo mmh!
   
Loading...