mariantonia
Senior Member
- Jan 6, 2012
- 135
- 52
Huyu mama amefukuzwa kazi baada ya kushindwa kudeliver
Kama hadhiti vile!
Anyway tupe authority ya hao vijana ulikuwa unajadiliana nao kwanza alafu niambie kwanini nisiseme wewe hoja yako hapa juu ya Mapacha na magamba wala si lolote na si Rose Migiro!?
Ho! hawa wamefanya haraka. Janja yao kwisha gundulika. Wakati ule wa kuchakachua, kumpata spika, walifanya siri sana kuwa, watasimamisha mgombea mwanamke. Ndo maana aliekuwa former spika bwana 6, wakati mmoja anahojiwa na ITV, bada ya uchaguzi, kuhusu agenda kama alikuwa na habari kuwa wangesimamisha spika mwanamke, akajibu kuwa hawakuwa na habari, otherwise, angetoa jina lake. Waliipata hiyo issue siku moja kabla. Na akaongeza, namnukuu " You can not change to a woman over night". Sasa hii imejulikana mapema, watu watabadilisha jinsia nakuambia. Kwa jinsi jamaa walivyo na usongo wa kukalia kiti mzee, tusubiri tuone. Yangu macho!....
Tanzania kuongozwa na Mwanamke!!! Sijui.
Sio kama hawawezi bali mila za kiafrika zinakataa na wananchi wengi mpaka leo bado wanazo.
Tuvute subra tuone.
Hata akiwa chaguo la JK, hiyo ni kwa upande wa CCM. Anaweza akashinda mchujo wa CCM halafu akagaragazwa kiulaini kabisa na wananchi katika uchaguzi mkuu! CDM andaeni mgombea mzuri, wao kule 'ni zamu ya mwanamke', sisi huku ni 'mgombea bora'
duh post ya Kayanga imeshanyofolewa tayari..Kwanini mnapenda kufisha ukweli wakuu?
hata wasimamishe MSUKULE WA SHEKH YAHAYA 2015 ccm inapigwa chini
duh post ya Kayanga imeshanyofolewa tayari..Kwanini mnapenda kufisha ukweli wakuu?
Duh wakuu MODS noma kweli wamenyofoa post kibao sijui wametumwa nani ?.
Mkuu NgumiJiwe,
Post ya Kayanga iliweka wazi kila kitu ajabu MODS sijui wameshalamba kitu kidogo wameinyofoa haraka labda kwa maelekezo ya magogoni.Kibaya zaidi wamehamisha jukwaa la siasa hadi chit chat.Hivi MODS mbona roho mbaya au mnataka story za MMU.
Mkuu NgumiJiwe,
Post ya Kayanga iliweka wazi kila kitu ajabu MODS sijui wameshalamba kitu kidogo wameinyofoa haraka labda kwa maelekezo ya magogoni.Kibaya zaidi wamehamisha jukwaa la siasa hadi chit chat.Hivi MODS mbona roho mbaya au mnataka story za MMU.