Recent content by Marathon Muziki

  1. Marathon Muziki

    Msaada juu ya utumiaji wa mtandao wa Instagram account sasa

    Yani nikibonyeza tu ili kuweka inaandika unexpected error uncured ndo tatizo hapo na akaunti ukiitafuta hauioni tena Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Marathon Muziki

    Msaada juu ya utumiaji wa mtandao wa Instagram account sasa

    Habari Ndungu zangu kwa majina naitwa Marathon Muziki, kijana ambaye ni Msanii underground but kuna shida moja imenikumba mara 3 kupitia instagram. Hivi karibuni instagram ilitangaza kuboresha huduma zao kwa kuongeza vipengele vipya na kututaka kuupdate ili kufaidika na huduma hizo mpya...
  3. Marathon Muziki

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu

    Nipo now Musoma mjini
  4. Marathon Muziki

    Msaada ||maana ya western union na jinsi inavyofanya kazi

    Habari Wadau wa JamiiForum naomba msaada kwa ambaye anajua maana ya Western union kwa Undani zaidi na namna inavyotumika nchini na nje ya nchi kwenye maswala ya kutuma na kupokea fedha kwenye mitandao hasa YouTube Channel inapokuwa imetimiza vigezo vya kulipwa mtonyo na Google Adsense. Kwa...
  5. Marathon Muziki

    Mashabiki wa RayVanny Morogoro waimba Mwanza Nyegezi

    Mashabiki wa RayVanny Morogoro waimba Mwanza Nyegezi - JamiiForums
  6. Marathon Muziki

    Mashabiki wa RayVanny Morogoro waimba Mwanza Nyegezi

    Hivi karibuni Msanii RayVanny aliachia wimbo mpya unaoitwa Mwanza akiwa na Diamond Platinumz. Baada ya siku kadhaa kupita Baraza la Sanaa taifa "BASATA "likaamua kuufungia wimbo wao wakitoa sababu kuwa una maudhui ya Ngono ila chakushangaza wimbo huu siku ya WasafiFestival2018 Morogoro...
  7. Marathon Muziki

    Habari kuhusu KUTEKWA siku kama ya leo

    Imeandikwa na Malisa GJ Ilikua dakika, masaa, siku na hatimaye wiki imekatika. Habari ya kutekwa kwa MO ilipobreak kwa mara ya kwanza alhamisi kama leo wiki moja iliyopita ilileta taharuki nchi nzima. Kwenye mitandao na hata main streams ilikua ndio mjadala wa siku. Lakini kadri siku...
  8. Marathon Muziki

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu

    Asante kwa ushauri wako brother
  9. Marathon Muziki

    Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu zangu wanaJF

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
  10. Marathon Muziki

    Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu zangu wanaJF

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
  11. Marathon Muziki

    Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu zangu wanaJF

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
  12. Marathon Muziki

    Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu zangu wanaJF

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
  13. Marathon Muziki

    Ushauri wako ni Muhimu ndugu zangu wanaJF

    Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
Back
Top Bottom