Marathon Muziki Member Sep 17, 2018 25 23 Oct 16, 2018 #1 Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
Beira Boy JF-Expert Member Aug 7, 2016 17,895 25,945 Oct 16, 2018 #2 Tupia video tuione mzazi hata Mimi ni chipukiz kama wewe
Anti-Hacker JF-Expert Member Oct 1, 2018 804 1,231 Oct 16, 2018 #3 Acha muziki na ukuklime viazi au vanillamaana zinaripa sasa...ndio ushauri wangu
Lecheminduroi JF-Expert Member Aug 24, 2018 1,184 3,577 Oct 16, 2018 #4 Kama hip hop nitakusapoti ila kama ni m'bana pua nisamehe mkuu
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Oct 16, 2018 #5 Anti-Hacker said: Acha muziki na ukuklime viazi au vanillamaana zinaripa sasa...ndio ushauri wangu Click to expand... kulima siyo kazi mkuu. husikiagi wanasema. kama huna kazi kalime
Anti-Hacker said: Acha muziki na ukuklime viazi au vanillamaana zinaripa sasa...ndio ushauri wangu Click to expand... kulima siyo kazi mkuu. husikiagi wanasema. kama huna kazi kalime
Diason David JF-Expert Member Aug 2, 2018 7,562 7,348 Oct 26, 2019 #7 Hivi mpaka leo uja achia mziki wako