Recent content by maradona

  1. M

    Hii nayo kali

    Ehe ikawaje sasa?
  2. M

    Tatizo ni nyinyi wanawake wenyewe..!

    Eat and run ndo habar kuweka kibanda ni full mapresha.
  3. M

    Njia rahisi ya kusahau shida zako.

    Kweli we comedian yaan hii kitu haina uhusiano na kusahau shida kabisa, ila nimecheka sana
  4. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Mbona una hasira sana we mzee ni Mungu yupo unamtetea kwa kauli chafu hizi?
  5. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Umenichekesha mno, hata na hiyo ni nguvu inaitwa uoganism.
  6. M

    Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

    Mdahalo ulikuwa mzuri mno...Big up Mtatiro kwani hakumumunya maneno dhidi ya askari polisi kutumiwa kama vibaraka wa viongozi.
  7. M

    Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

    Mtoa mada nadhani alikuwa anatafuta point za kwenye debate...... Na ameshapata ndo maana kala kona.
  8. M

    Milard Ayo unapotosha umma! Huo ni uwongo uliokubuhu!

    Ni dalili ya fikra mfu kwa watu kumjadili mtu. Akili ndogo hiyo.
Back
Top Bottom