Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

slaa ni janga kama ameweza kuasi ndoa,familia na upadri atashindwa kuasi nn .
Mkuu ameasi ndoa gani ebu fafanua...hivi unafahamu sheria ya upadri? USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA...!
 
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa

scramble, kama kongamano lisingerushwa LIVE, ungefanikiwa kupotosha watu sana. Kila mtu ana tafsiri yake kwa kauli fulani lakini tafsiri yako kwa alichosema Dr. Slaa si sawa. Labda ungeweka video clip ili watu ambao hawakutazama live wakaona ili nao watoe tafsiri zao, badala ya kuwasomesha translated reported speech ya kwako.
 
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa
.......Ni wewe umehisi au nini..?
 
Bila Dr. Slaa huyo Ncimbi wako asingekiri kuwa kuandamana unahitaji kutoa taarifa na wala si kuomba kibali kama WAPUMBAVU kama wewe wanavyopotosha.
 
Ina maana kumgeukia mtu ndo alikuwa anawaambia watu wamzomee?hii ni akili kuwa ndogo! WAPI ALIWAAMBIA WAMZOMEE? Tumia kichwa kufikiri!

kubaini kuwa slaa alilenga kuharibu hotuba ya nchimbi, kunahitaji upeo na tafakuri ya kina. inaelekea upeo huo hujaufikia
 
Dr. Slaa tamaa ya pesa ya Josephine ndiyo inayompeleka peleka lakini alikuwa mtu mzuri kabla hajaanza kujihusisha na Josephine.
Nyie ndio mnaosababisha wanawake waseme wanaume wa siku hizi wamekuwa wambea,sasa tamaa ya pesa aliyonayojosephine wewe umeijuaje ni shoga yako? Au unamuonea wivu josephine?
 
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa

Sasa mbona unajikana mwenyewe?Mwanzoni ulionyesha ulikuwa na uhakika na unachokiongea umebanwa mara unajigeuka tena kwa kuja na hadithi za "unahisi".Jifunze kujenga hoja na jinsi ya kuisamimia sio unabanwa kidogo tu mara unaanza kutetemeka na kubadili mwelekeo.
 
Nchimbi ilipaswa awe amefukuzwa au kujiuzulu kazi siku nyingi,sema kwa kuwa ni mtoto wa parokiani analindwa
 
scramble, kama kongamano lisingerushwa LIVE, ungefanikiwa kupotosha watu sana. Kila mtu ana tafsiri yake kwa kauli fulani lakini tafsiri yako kwa alichosema Dr. Slaa si sawa. Labda ungeweka video clip ili watu ambao hawakutazama live wakaona ili nao watoe tafsiri zao, badala ya kuwasomesha translated reported speech ya kwako.

Msamehe mkuu alikua anawahi Buku 7 ya Lumumba
 
Nyie ndio mnaosababisha wanawake waseme wanaume wa siku hizi wamekuwa wambea,sasa tamaa ya pesa aliyonayojosephine wewe umeijuaje ni shoga yako? Au unamuonea wivu josephine?

amuache mme wa roz kamil atafute wake
 
Mdahalo ulikuwa mzuri mno...Big up Mtatiro kwani hakumumunya maneno dhidi ya askari polisi kutumiwa kama vibaraka wa viongozi.
 
Mleta mada umeeleza ukweli mtupu. Kwa wote tuliofatilia mjadala uliokuwepo kwenye kongamano lile utakubaliana na mimi kuwa mleta mada amesema ukweli mtupu.

Jambo ambalo Dr Slaa alikosea ni kuacha kujadili hoja kama zilivyo wasilishwa na wachokoza mada, badala yake yeye akaanza kumtupia kashfa waziri Nchimbi.

Dr Slaa alisema waziwazi kuhumu matatizo ya kwenye bandari hasa ya rushwa na kupitisha nyara za serikali kuwa yana ruhusiwa na polisi pamoja na usalama wa taifa na ndio hapo akasema Nchimbi hakupaswa kuwa ukumbini na kama bado yupo Dr Slaa alipendekeza Nchimbi atoke ukumbini pale.

Sasa sijui huyu babu ana matatizo gani, lengo la kongamano halikuwa kufanya mipasho au kuonyesha nani ana chuki na nani, lengo lilikuwa kujadili amani, na kama Dr Slaa hakulifahamu lengo toka awali ni vyema angeuliza ili apewe muongozo kuliko kubwatuka na kashfa zisizo na mashiko.

Lakini pia katika lile kongamano mtu mwingine aliyetia aibu ni Lilian Wassira, huyu ndiye alihama kabisa nje ya mada na kuanza kupiga kampeni. Watu wana jadili amani yeye anaeleza habari za kuiondoa CCM madarakani. Hivi kumbe mtu ukikaa karibu na Josephine unakuwa kama mjinga mjinga hivi? maana huyu dada kabla hajaenda CHADEMA kidogo alikuwa anajitambua.

Pongezi zangu zinaenda kwa Mtatiro na waziri nchimbi kwa kujadili mada kwa kina bila hata ya jazba, hivi ndivyo inatakiwa.
 
amuache mme wa roz kamil atafute wake
Very interesting,mbona mnamtafutia dr kashfa jamani mwaname mzima unapiga kelele dr amuache josephine unataka akufanye wewe?
 
Ina maana kumgeukia mtu ndo alikuwa anawaambia watu wamzomee?hii ni akili kuwa ndogo! WAPI ALIWAAMBIA WAMZOMEE? Tumia kichwa kufikiri!

katika mambo ya kuhutubia, kuna kitu kinaitwa audience instigation. ndicho alichokifanya slaa. kwa upeo wako, hii mada huiwezi.
 
Hivi hakuna mtu aliyekuwapo aeleze exactly dr alisema nini,sababu hawa maruhani hawaaminiki mtu anaweza tengeneza maneno alafu akayaleta hapa kwa fulani ndio kasema.

Na mods siku hizi sijui na wao wanapewa buku saba wanaangalia tu,hadhi ya jf inashuka kwa kasi sana.
 
Tatizo lako na la viongozi wa serikali/CCM ni moja. Mnaishi kwa hisia za woga (fear) kunakopelekea mshindwe kujiamini kwa sbb ya matendo yenu maovu!!..Hata hoja yako hii ina mwelekeo huuhuu kwani kama ulikuwepo pale ukumbini au kama ulukuwa unafuatilia kongamano hilo katika Tv, basi badala kufuatilia mjadala mzima wewe ukawa macho na masikio yako yanamwangalia na kumsikiliza Dr W. P. SLAA na hasa sehemu (labda) atakayokosea kisha mje na propaganda zenu za kipuuzi na kipumbavu!!

Tatizo lako ni moja hukumwelewa DR SLAA kwa sababu maisha yako ni ya ki-CCM ya "KUVIZIAVIZIA" tu na ukiishi maisha kwa kuvizia watu (hasa wabaya wako kama Dr Slaa) mkuu utapata shida sana!!..Na kwa kuwa hukumwelewa hukuwa na haki ya kuzua hoja usiyo kuwa na uhakika nayo. Najua utaleta ubishi na kama utaleta ubishi tutakushushia video nzima ya kongamano hilo ili tujadili kimantiki zaidi na si kipropaganda!!
 
Back
Top Bottom