Rais Jk kamuonea wivu tu Kagame, akaona tafute kitu cha kuwakera, amesema huku akijua kabisa FDLR ni kina nani, Siasa za nje za Tanzania hazina tena mvuto, kwa muda mrefu tu na JK anajua hilo.
JK amesahau kwamba Kagame na Museveni ni sawa na kurwa na dotto lazima watasaidiana, then kenya...