kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Utasema hayo lakini ni maneno ya mkosaji wenzio wanasonga mbelembona hizo mbwe mbwe tu .... atake asitake bado nchi yake ni "land locked country-rwanda" atake asitake.
Utasema hayo lakini ni maneno ya mkosaji wenzio wanasonga mbelembona hizo mbwe mbwe tu .... atake asitake bado nchi yake ni "land locked country-rwanda" atake asitake.
You dont know what you are talking about!Wengi wanaojadili humu ndani siyo wanauchumi hata kidogo isipokuwa ni wadandiaji tu wa hoja. Uganda na Rwanda wakijitoa wataahiri vipi uchumi wetu? Hilo ndio swali la kujiliza na siyo kuanza kuweka humu chuki binafsi sijui mara hilo ni tatizo la JK sijui huyu ni Mr. dhaifu na kadhalika. Rwanda na Uganda wakijitoa na wajitoe tu na wala hakuna madhara makubwa. Hebu tujiulize hivi sisi tunapata nini kwa Rwanda na Uganda kwa kutumia bandari yetu. Je, hamjui kuwa barabara zetu zinaharibika mno kwa malori makubwa yasiyo ya kawaida? Watakaoaathirika ni wale wafanyabiashara na wafanyakazi wa bandarini ambao huinyima mapato nchi kwa ruhswa zao za kishenzi. Watu wa kawaida kamwe hawezi kuathirika na ujinga uliopo katika bandari ya Dar es |Salaam. Sisi tuimarishe reli na tujenge uchumi wetu kwa kuangalia vyanzo vingine. Sisi tumebarikiwa kuwa na vyanzo vingi. Bandari ni sehemu ndogo mno ya mapato ya Tanzania. By the way waache Rwanda waitumie bandari ya Mombasa kwani watapata hasara kubwa na vitu huko Rwanda vitakuwa na bei kubwa mno na kuleta inastability kwao.
Hamna lolote ni propaganda tu, jukumu la kuchagua bandari ya kutumia ni jukumu la mteja mwenyewe. Hata hivyo wao Rwanda na Uganda wana haki ya kupitisha mizigo mahali wanapoona pana unafuu na katika hili option iliyo nafuu kwao ni Bandari ya Dar hawana ujanja. Mkwara wa kupitishia Mombasa mbwembwe tu watu wenyewe maskini hawa wanyarwanda.
Swala la vizuizi barabarani ni la lazima nadhan hata wao magari yanayotoka tz yakienda kwao wanayakagua sana.
Changamoto iliyopo sisi tuendelee kuboresha tu bandari zetu wao waache watumie gharama kubwa kuleta mbwembwe za kujenga reli toka Mombasa hadi kwenye ka nchi kao kadogo na masikini cha Rwanda mwisho wa siku watarudi hapahapa hawana pa kwenda.
Kwa kuzingatia umbali Uganda wako sahihi kutumia Kenya,ni karibu kwao,kwa Rwanda hakuna faida kubwa ya umbali Kama wanayoipata Uganda.
In general putting politics aside it comes down to efficiency.
Uchumi Wa Tanzania hauwezi kuyumba kwa kuwa Nchi yenye GDP kiduchu Kama Rwanda haipitishi mizigo yake.total volume ya cargo za Rwanda in ndogo Sana kujustify uyumbaji Wa uchumi.Uganda were never our biggest customers to begin with.
In my opinion this is simply Kenyan backstabbing at its best.KAGAME and MUSEVENI are just getting played hard here.
Wanachokifanya wakenya sasa ndio kilichoua EA community 1977,tamaa za kikikuyu.kwao wao EA only works if things are in their terms.if JKN was in power this would be a bygone.
Kenya play this game every time it gets a chance,preaching EA integration so that others view us as a block,but when money/investments comes in it must pass through Nairobi 1st.Ask yourselves why Kenya wants to keep visa collection money at point of entry, because it knows it has the most international connections.
Then TZ inafanywa Kama mlaji,with no trickle down effect. Tazama MNCs ngapi zimeweka base NRB as opposed to DAR.this is what KENYA wants, they also want common regulations amd market so that it becomes easier for MNCs to set up shop in NRB and serve EA as a block.this will ensure KENYA keeps 90% of proceedings and tiny of what's left gets shared by the rest.
My advice to GOT,if Kenya keeps these games they should put brakes in common market extravaganza and embrace individuality within the community
That way MNCs will need to also set up shop in TZ,and not use us as a mere consumer point.
for realEverything has a price. Rwanda and Tanzania are losers! Kenya is the most winner. Uganda - neutral!
nimesoma bandiko lako lote ambalo ulianza kwa sema kuwa "bado tutaluwa tuko na malawi zambia na drc plus burundi," which suggests that pamoja na kuwa customers a na b wametuacha bado tutakuwa na customers c na d.
Hata hivyo, ukajishtukia kuwa hata customerss c na d utawapoteza hivi hivi kama hutashughulikia matatizo ya product yako.
Ni kama vile hutaki kuwapoteza pia customers c na d lakini huna mpango wa kuwarudisha customers a na b.
mkuu wachina ni kama wasomali au watu wengine tu wenye kuganga njaa kama sisi. mkuu unaonyesha wewe ni mtaalamu wa antivirus, sio ishu sana but tatizo naona kama unaenda mbali sana na hii taito hapo juu. for god sake, ungecheki fresh hii scenario mkuu.The biggest card Tanzanians have is the Chinese, these people are our strongest allies.
We should use them to our advantage,Tanzanians have no idea how emotionally attached Chinese are to "TanzanTielu" i.e Tazara of all the projects Chinese have ever done outside their country,since the founding of the new china.
Over the next half a decade they will pour in TZ over $20BN that's almost our entire GDP.that in itself is extremely valuable.
I keep repeating this,Chinese did not sent xi jinping to Tanzania on his preaident first visit as by mistake,we are effectively their African base.let's get the most out of this.
We also have a trojan horse in the name of Kariakoo.90% of Traders who used to go to China from neighboring country simply don't go there.they stop at KKOO,let's use this as well.
We need to modernize KKOO and make it an EPZ as a center for trade with landlocked countries like Zambia/Zimbabwe/Malawi/Congo and Burundi.
Don't worry about Kenyans in this,A sane Chinese merchant simply can't do business In Kenya.(ujamaa wetu-unaplay part kubwa hapa).ndio maana unaona mchina anauza karanga Tabata,they feel at home.
As much as I dislike them taking lowly jobs it is of tremendous significance if we let the Chinese community flourish.we will see it's advantage 10-20 years down the line.
mkuu nadhani usiseme sisi tuimarishe reli kwani hata bandari ingeweza kuimarishwa pia. kenya watanufaika na makosa yetu. japo naamini uganda na rwanda zimenufaika na DRC miaka mingi walituvumilia miaka mingi, nadhani baada ya sisi kupeleka mashambulizi dhidi ya m23 hawakufurahishwa na sisi wameamua kuonyesha mgomo baridi kupitia madhaifu yetu.kimsingi hakuna rafiki wa kudumu, tunahitaji tuwe watu safi ili tukikosoa mataifa mengine tutaheshimika pia, na hili ndio udhaifu wetu. tunakuwa wala rushwa huku tukijifanya tunauchungu na amani ya kongo na wao wametuvumilia walipoona tunamwaga ugali wameamua kumwaga mboga.Wengi wanaojadili humu ndani siyo wanauchumi hata kidogo isipokuwa ni wadandiaji tu wa hoja. Uganda na Rwanda wakijitoa wataahiri vipi uchumi wetu? Hilo ndio swali la kujiliza na siyo kuanza kuweka humu chuki binafsi sijui mara hilo ni tatizo la JK sijui huyu ni Mr. dhaifu na kadhalika. Rwanda na Uganda wakijitoa na wajitoe tu na wala hakuna madhara makubwa. Hebu tujiulize hivi sisi tunapata nini kwa Rwanda na Uganda kwa kutumia bandari yetu. Je, hamjui kuwa barabara zetu zinaharibika mno kwa malori makubwa yasiyo ya kawaida? Watakaoaathirika ni wale wafanyabiashara na wafanyakazi wa bandarini ambao huinyima mapato nchi kwa ruhswa zao za kishenzi. Watu wa kawaida kamwe hawezi kuathirika na ujinga uliopo katika bandari ya Dar es |Salaam. Sisi tuimarishe reli na tujenge uchumi wetu kwa kuangalia vyanzo vingine. Sisi tumebarikiwa kuwa na vyanzo vingi. Bandari ni sehemu ndogo mno ya mapato ya Tanzania. By the way waache Rwanda waitumie bandari ya Mombasa kwani watapata hasara kubwa na vitu huko Rwanda vitakuwa na bei kubwa mno na kuleta inastability kwao.
mkuu wachina ni kama wasomali au watu wengine tu wenye kuganga njaa kama sisi. mkuu unaonyesha wewe ni mtaalamu wa antivirus, sio ishu sana but tatizo naona kama unaenda mbali sana na hii taito hapo juu. for god sake, ungecheki fresh hii scenario mkuu.
Well said mkuu. Kama nilivyosema hapo awali, Rwanda government does not want war. Hawa FDLR, majuzi walitupa mabomu Kigali na kuwauwa raia wasio na hatia.
...... Obviously, they still want to force their way back into Rwanda? What is your advice on that?
.......Nadhani unajua kuwa FDLR wako kwenye list ya terrorist organization. Kama nilivyosema waki renounce ideology yao ya "wiping out all tutsi", wakaweka silaha chini then I believe that the government of Rwanda is willing to sit with them.
.......I think you know kwamba kiongozi wao ana $5million reward on his head. Na hiyo hela imetolewa na serikali ya marekani so you see what kind of people you are dealing with.
Ule mradi wa kujenga reli ya pamoja kati ya Tz na Uganda kuanzia Bandari ya Tanga hadi Musoma ndio harijojo?