Unachosema ni kweli mkuu lakini tatizo ni kwamba kuna watu humu huwa wanapenda kujikweza kupita wenzao na wanataka kuwaongopea wenzao. Huwa kila kitu humu wanataka kufanya ni ushindani kama wa mpira. Ukitaka kuhakikisha hilo huyu ndugu nimemuuliza ataje force number yake bila kuonyesha figure ambazo zinamjulisha yeye ni nani,ningeweza kujua intake yake ilikuwa mwaka gani tu,kashindwa!. Amebaki anaendelea kubishana tu na kusema yeye yupo ndani. Kwani hata yeye kupitia hizo picha nani amemuambia Rwanda inajiandaa kuipiga nchi fulani!?. Hizo picha mi naona kama routine workshops and trainings tu ambazo hata JWTZ huwa wanafanya ila hawajipigi picha na kuweka humu.Akitaka kuwa great thinker mshauri aache porojo na speculations!
QUOTE=Koba;6676163]Watu wengine mnaongea as if kuna vita btn TZ vs Rwanda,na wala hakuna beef yeyote na inasikitisha sana watu msioelewa siasa za Rwanda mnavyo fall na propaganda za watu humu wenye agenda za ant Rwanda/kagame humu JF, na huko Congo JWTZ hawajaenda kupigana na Rwanda maana Rwanda hawana hata mwanajeshi mmoja huko,be carefully guys maana JF imeingiliwa na watu wenye chuki na Rwanda[/QUOTE]