Recent content by Manyara69

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwenzetu NJEE amefariki dunia Leo Alfajiri

    Poleni sana wafiwa-familia, wana JF, ndugu, jamaa na marafiki! Roho ya marehemu ipumzike kwa amani, Amina!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Asante kwa taarifa AshaDii. Poleni sana Max na nduguyo,in our prayers for your quick recovery! Blessings
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Mtambuzi ni mimi,nimepata Baby Boy leo!nigongewe like za kutosha

    Hongereni sana fabinyo! Ujio wake uwaongezee furaha, amani na baraka tele ndani ya familia yenu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Mmh kweli this is JF...'were we dare to talk openly'...good luck mamii!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wedding Anniversary

    Hongereni sana FP! Mungu aendelee kuwapa hekima na busara ili kudumisha upendo wa kweli siku zote za maisha yenu! Blessings!
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

    Hongereni sana Mtambuzi! Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu. Tunawaombea awaongezee furaha na baraka tele ndani ya familia yenu!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili tu ndo linanipa wasiwasi.......

    'Actions speak louder than words SURN'. kwa mtazamo wangu jaribu kuangalia kama matendo yake kwako ni mazuri kuliko majina...unataka akuite 'MPENZI' kama ishara ya kuwa anakupenda, je siku amekasirika/mmegombana kidogo/mmepishana kiswahili kidogo akikuita 'MSHENZI' utamlaumu?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    Kutambua kuwa ni tatizo kwako at the age of 22 ni mwanzo mzuri wa kulifanyia kazi ili uweze kujua kama wewe ni lesbian or straight. Kwa mtazamo wangu miaka 6 siyo muda mdogo sidhani kama ni rahisi kwako kuacha tabia hii ghafla, its a gradual process naona kama vile u need psychological help...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    Kutambua kuwa ni tatizo kwako at the age of 22 ni mwanzo mzuri wa kulifanyia kazi ili uweze kujua kama wewe ni lesbian or straight. Kwa mtazamo wangu miaka 6 siyo muda mdogo sidhani kama ni rahisi kwako kuacha tabia hii ghafla, its a gradual process naona kama vile u need psychological help...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

    Mmmh labda....wanasema tuzingatia kwenda na wakati so dot.com era labda kwa baadhi yao inawezekana lkn kwa mtazamo wangu kama one of the BBC(Born Before Computers)era naona kama a bit unrealistic and artificial!
  11. M

    JamiiForums Tanzania ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

    Mmh nieleze tofauti ya hayo mawili maana nisije nikajibu nikaingia chaka!
  12. M

    JamiiForums Tanzania ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

    Mtawa.....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    pole sana Katrina. kwa hadithi yako kuna mawili kwanza inawezekana wengi wetu uelewa wa hatua za kufuata unapotafuta mwenza via "on-line dating" bado ni mdogo au pili uelewa upo lkn ni hulka tu ya kukosa uvumilivu na kuendekeza matamanio ya miili yetu...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawashukuruni Wana JmiiForum wote-KakaKiiza

    Pole sana KakaKiiza! Mungu alitoa, Mungu ametwaa! Jina lake lihimidiwe...Mwanga wa milele amwangazie na apumzike kwa amani!Amina....life has to continue KakaKiiza so stay strong for your kids, blessings!
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora uende.............

    Naona kama mlifanya maamuzi mkiwa na hasira kidogo....changanua changamoto mlizopitia ndani ya miezi 6 zinabebeka? Naamini utaweza kujua na sikiliza moyo wako unataka nini hivyo kuamua vzr zaidi!
Back
Top Bottom