Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

Hobgera sana mzee mwenzangu mtambuzi kwa kupata mtoto

haya jamani pampers zinahusu haswa wale waliofaidika na mada za ke za utambuzi, kuonyesha recognition ya mchango wake uliotukuka

namtakia mama na mtoto afya njema
 
hongera sana Mtambuzi.

Swali la kizushi, kwa uzee ulojitangazia humu wewe na mama ngina, si mmejifungua kitukuu??

Nimenote: mtambuzi ni kigori, kuanzia kesho unaniamkia.
 
Hongera mshua. Ila kuseka kuko palwpale. Ole wako wakati huu mama yuko toharani ulete za kuleta.

Watoto wa siku hizi bana, huna adabu japo kidogo kwa mshua wako? tehe tehe tehe nitamwambia akupeleke kijijini kwa bibi arudie mafundisho.
 
hongera sana Mtambuzi.

Swali la kizushi, kwa uzee ulojitangazia humu wewe na mama ngina, si mmejifungua kitukuu??

Nimenote: mtambuzi ni kigori, kuanzia kesho unaniamkia.

Mbona unataka kumnyanyapaa mtambuzi? muhimu ni kwamba yeye na mama ngina wamepata baby boy.

wazungu wanasemaga "age aint nothing but a number", sio?
 
sijui kama umekulia vijijini kama mie.

Tulikuwa hatuna mipira hii aina ya kuchezea tenesi.

Tulkuwa tunatumia mayai ya mijusi au nyoka fulani hivi kudunda dunda kama tenesi.

Ukifika umri kama huu wangu, mayai yanadunda tu na wala si unyanyapaa.

Pampzi tunapeleka wapi?

wazungu wanasemaga "age aint nothing but a number", sio?
 
333453.jpg

Hongera Mkuu Mtambuzi, nitarajie thread nyingi ziusianazo na watoto... Jk(just kiding) :lol:
 
Hongera mzee Mtambuzi kwa kujipatia mtoto wako, wenzio tunawatupa bafuni tu hahahaha..... nikija ntakuja kumuona mtoto
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana Mtambuzi! Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu. Tunawaombea awaongezee furaha na baraka tele ndani ya familia yenu!
 
Back
Top Bottom