Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
teh ,teh teh nini lengo lako hasa mama .kuharibu maisha ya kijana ,au unamtengezea maisha ,hebu chukulia angekuwa mwanao ndio kafichwa na jimama 55years .ungeona sawa .kama hutafuhia usimfanyie mwenzio kitu kibaya ambacho ukifanyiwa wewe utakasirika .tafuta wazee wako walioachwa userebuke nao, pia acha kutuharibia watoto wetu.
 
Kabla ya kukujibu nataka kujua,
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

70 Reactions
Reply
Back
Top Bottom