Recent content by Manweki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Yes much katumia lugha ya ukali lakini kaonesha angalau ana kitu tofauti cha kuisaidia nchi. Nadhani mradi wa kufua umeme wa rufiji ukikamilika mdau atakuwa amepata faraja. Ni bahati mbaya tumechanganya vitu vingi katika kipindi hiki lakini naamini kama kila mtu atatoa constructive critisism...
  2. M

    JamiiForums Tanzania UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Mungu uwape faraja majeruhi na wafiwa wote kwa msiba huu mkubwa. Mavumbini tulitoka tutarudi mavumbini.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Chama cha Wanasheria chalaani kauli za Rais Uhuru Kenyatta juu ya majaji

    Inabidi tuwaombee mkuu. Matatizo ya jirani ni ya kwetu. Ninachokiona sisi tunaongea mambo mengi ili kujifurahisha nafsi kutegemea na mrengo wa kisiasa. All in all we pray to God so that Kenyans finish their assignment without blood shed. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Poultry Farming Map

    Kaka kitabu tunakipataje kwa mfano kwa tulio darisalamu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule Traffic mwenye mbwembwe jijini Dar?

    Yupo njia ya Kawe ukifika pale Round about utamkuta asubuhi. Bado anafanya kazi yake kwa tabasamu na furaha kama vile maisha hayana mabonde na milima. Ni baadhi ya watumishi wachache ambao wanaipenda kazi yao hata kama ni ngumu ya kukaa juani. Hongereni askari wetu wote mlioko sehemu mbalimbali...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 9 wachinjwa kama kuku nchini Kenya

    May God Rest their Souls in Peace.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

    Simba tulistahili ushindi. Sasa tukakionyeshe kile kinachotufanya tuwe wa kimataifa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki watano wa yanga wamwagwa manoti kwa Toto Africa

    Na hii dhambi yao lazima iwarudie tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

    Ni kweli kabisa. Si vema kumchukia mtu kwa ajili ya mafanikio yake. We compare our worst possession with the best possession of others.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Katika hao ngamia busara ni kuongeza ngamia mmoja jumla wanakuwa ngamia 18. Mmoja anapata nusu i.e. ngamia 9 wapili 1/3 ni ngamia 6 na watatu 1/9 ni ngamia 2. Jumla ni ngamia (9+6+2=17). Na mgawaji anaondoka na mmoja wa 18.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya RAM na processor?

    Ni kweli RAM - Random Access Memmory ni mahari ambapo processor inaload program inapoanza kuzifanyia kazi. Kwa hiyo wakati mwingine processor inaweza kuwa nzuri kama RAM ni ndogo sana pia hutapata matokeo mazuri. Katika yote ni vema Processor ikawa kubwa ya kutosha kisha RAM.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dada atupakisye mwakanosya

    Loli po mwalangani kuno aliko. Mienda miki igyo afwele? Asumwike ku mbwani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Kasi kweli kweli[/color]
  14. M

    JamiiForums Tanzania ACT kumeguka tena

    Je amesema sababu ya uamuzi wake huo?
Back
Top Bottom