Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
RobertSiwezi kuwapokonya! Nashauri ili kuondoa dhana potofu kuwa "a certain group is an elite!"
NB.Ni John au Robert Ouko?
RobertSiwezi kuwapokonya! Nashauri ili kuondoa dhana potofu kuwa "a certain group is an elite!"
NB.Ni John au Robert Ouko?
Wewe ni naniTsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!
Lowassa anamuunga mkono UHURU sasa usitegemee sisi kumpingaHiyo kukubali kukosolewa tu kwa Kenyatta ni uthibitisho tosha kuwa jamaa anakubali sana uhuru wa mwanadamu katika kufikiri, ingekuwa Tanzania hao chama cha mawakili wangekoga matusi ya kufa mtu toka kwa Magufuli
Hujiulizi kwann la choo na team yake wapo kimya? Wao wapo upande wa uhuru, na maneno aliyoongea kwao ni aibu. Mtu wanayesema ana demokrasia leo ndio anawawekea kisasi cha wazi majaji. Na hata zile hoja za Uhuru kuwa ameshinda kwa kuangalia wingi wa wabunge na madiwani wake, ndio zilezile walizokuwa wanazikataa Ukiwa kwa ccm. So la choo na wanzie hawajui watu wa kuwasapoti au kuungana nao.Angekua Lissu na TLS wameandika hivi zingejaa thread humu za "wazalendo"kumtukana
Hii siyo sababu maana waliogombea urais hawakuwa wawili lakini alienda mahakamani ni mmoja sasa kama wabunge hawakuridhika ni juu yao maana siyo sababu ya kuhalalisha uchakachuaji.Kule kushakuwa kugumu maana anachoshangaa uhuru wa bunge na watu wengne wameapishwa kwanin uraisi tuuh ndio kuwe na shida....
Which ni kitu cha msingi km vitu vyengne viko sawa kwanin shida iwe uraisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda facebook ama katika social media zao kabla ya kuja katika ukumbi wa wabongo.Hujiulizi kwann la choo na team yake wapo kimya? Wao wapo upande wa uhuru, na maneno aliyoongea kwao ni aibu. Mtu wanayesema ana demokrasia leo ndio anawawekea kisasi cha wazi majaji. Na hata zile hoja za Uhuru kuwa ameshinda kwa kuangalia wingi wa wabunge na madiwani wake, ndio zilezile walizokuwa wanazikataa Ukiwa kwa ccm. So la choo na wanzie hawajui watu wa kuwasapoti au kuungana nao.
Yupo kimya kwa hili, huyo kizabizabina.
Chama cha mawakili nchini Kenya LSK kimemkosoa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ya kuwashambulia majaji wa mahakama ya juu kufuatia uamuzi wa kubatilisha uchaguzi wake.
Rais wa LSK Isaac Okero katika taarifa siku ya Jumamosi alimkosoa rais Kenyatta kwa kumtaja jaji mkuu David Maraga na majaji wengine wa mahakama hiyo kuwa "Wakora".
Rais Kenyatta alitoa matamshi hayo wakati wa ziara ya kukutana na wafuasi wake katika soko la Burma mjini Nairobi siku ya Ijumaa muda mfupi baada ya mahakama hiyo ikiongozwa na jaji Maraga kufuatia mbali uchaguzi wake.
Wamekomaa wapi wakati Uhuruto wanawatisha majaji na kuwakejeri?Hata kama lakini ukweli ni kwamba wapo mbali wamekomaa kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tuwaombee mkuu. Matatizo ya jirani ni ya kwetu. Ninachokiona sisi tunaongea mambo mengi ili kujifurahisha nafsi kutegemea na mrengo wa kisiasa. All in all we pray to God so that Kenyans finish their assignment without blood shed.Tsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!
Demokrasia Africa bado hadi 2200 yrs.. Sbb Demokrasia bila Elimu ya kweli kwa wananchi na viongozi wote haiwezekani.. ELIMU AFRICA BADO DUNI MNO MNO..
Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges
SUMMARY
> Law Society of Kenya commended President Uhuru for also declaring that he respects court’s decision which he does not agree with
> LSK, condemned his further attacks towards Judiciary terming the remarks as inappropriate and unconstitutional
> President Uhuru hit out at the Supreme Court questioning the grounds on which his nullification was determined and threatened to deal with Judiciary if he will be reelected within the 60 days
The Law Society of Kenya says President Uhuru Kenyatta is entitled to express his dissatisfaction in yesterday’s Supreme Court ruling which invalidated the announcement of his reelection on August 11. LSK commended Uhuru for also declaring that he respects court’s decision which he does not agree with.
In a press conference on Friday, shortly after the ruling President Uhuru said he disagrees with Supreme Court ruling but will respect it. He has urged Kenyans to maintain peace and shun tribalism.
“I respect the Supreme Court’s decision but I don’t agree with it... Millions of Kenyans queued and voted, but six people have decided that they will go against the will of Kenyans… Again I say, the Court has made its decision and we respect it but we do not agree with it,” said Uhuru who was accompanied by Deputy President William Ruto.
However the LSK, condemned his further attacks towards Judiciary terming the remarks as inappropriate and unconstitutional.
“Further statements by President describing the Chief Justice and other judges of the Supreme Court of Kenya as 'wakora' (crooks or scoundrels) and ominously declaring that they should wait for him after he is successful in the coming fresh elections are unfortunate and wholly inappropriate remarks from the head of state who under the Constitution is a symbol of national unity, enjoys immunity from criminal and civil proceedings and must promote and enhance the unity of the nation.” Said the Law Society in a press statement.
On Saturday, President Uhuru hit out at the Supreme Court questioning the grounds on which his nullification was determined. He threatened to deal with the Judiciary if he will be reelected within the 60 days that Supreme Court ordered the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) to conduct fresh presidential polls.
“Even if you are so stupid, ask yourself something: The people elected an MCA, results were transmitted, and no one asked questions. Those of MPs and senators were transmitted, and no one asked questions and they have been sworn in. Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru.
LSK urged President Uhuru to respect, uphold and safeguard the Constitution an obligation which extends to respecting, upholding and safeguarding the rights of the Chief Justice and each of the judges of the Supreme Court of Kenya under Article 28 of the Constitution.
“Those remarks violate this obligation and are condemned unreservedly by the Law Society of Kenya. And they do not in any way lower, in the eyes of their fellow Kenyan citizens, the high esteem in which the Chief Justice and the judges of the Supreme Court of Kenya are now held, “LSK insisted.
Alikuwa amepiga ulabu.Tena leo ndio alisema wazi kabisa kuwa kama si kulinda amani wangeliona cha mtema kuni...
Akaendeleo kuwa watu wana vaa magauni halafu wana batilisha matokeo ......
Kwa kweli Kenyatta nilimsifu lakini speach ya leo ameharibu kabisa..........