Wimbi la wanachama waandamizi wanaokihama chama cha ACT WAZALENDO Kwa Siku za karibuni limezidi kuongezeka baada ya muasisi na kiongozi mashuhuri wa chama hicho jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani, Mwalimu Gasper Shoo kuamua kurejea CHADEMA.
Shoo ambaye hajatangaza rasmi Siku ya kuhamia Chama chake cha zamani, amenukuliwa Mara kadhaa akitamka kuwa ameshamaliza taratibu za msingi za kuhamia Chadema na wanachosubiri tu ni muda. 'It is a matter of time tu broo....' Alisema Shoo.
Kwa Simu za Karibuni, jinamizi la kukimbiwa na wanachama wake limekuwa likiiandama