Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu...
dah sio mwepesi sana kucomment ila when it comes to this type of shit that you have posted Mungu akulipe sawasawa na matendo yako kigogo unayejiita mwananchi
Kiukweli nakufuatilia sana unavyopost na ku comment and today its the only day you speak as human being siku nyingine huwa ni kama si mtu kua mpinzani sio dhambi
yaaani hiyo pumba uliyo andika hapa imebidi nicomment binafsi ni mkristo lakini daaah usiwadharau waislamuu kiasi hicho sie wote ni watoto wa baba mmoja amri ni moja tuuu UPENDO
point of correction ameshasaini tayari hivyo ni sheria tayari nothing to worry go magufuli go ccm go duhhh huyo mfanyakazi tunaemzungumzia hapa mtoto wake hana ajira na anaelimu ya juu amestaafu sasa akitegemea atapata pesa amuwezeshwe na mwanae leo inakuja sheria ya 25% mm nahisi hawana pesa za...
hao hao waliotoka kwenye huo uhaba wa vifaa ndo wanapata hizo DD kisha wanabaguliwa kwenye hivyo vyuo pedwa hapa kwetu kisha tunawabeza tukijisifia wa UDSM not fair at all inasikitisha kiranja mkuu wa hii nchi ndo anaongiza huu ujinga yeye ndo wa kukemea lakini ndo anazua mijadala ya kijinga...
ni bora watu wasifie taaluma walioipata apo UDSM kuliko TITLE ya chuo eti mtu ukitaka kuoa ukiwa wa UD unaheshimika hahaha mkuu wa hii nchi nikielezotosha cha hizo product zenu hapo
mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.