Kusoma UDSM ni dhamana

Kusoma UDSM ni dhamana

Mkuu shida inatokea ni kuwa Vyuo vingine huchagua wanafunzi wenye ufaulu wa chini sana. Mfano DD wakati Udsm huchagua wenye ufaulu wakushangaza. Cha msingi serikali iboreshe elimu kwenye shule huku chini ili wanaopata maksi za juu wawe wengi angalau vyuo vingne vipate hata one za 3
mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four mtu ana three anaenda advance anakomaa anapata div 1 au 2 sasa kwann mtu wa DD asiheshimiwe angekua amefelei basi asingechagulliwa
 
ni bora watu wasifie taaluma walioipata apo UDSM kuliko TITLE ya chuo eti mtu ukitaka kuoa ukiwa wa UD unaheshimika hahaha mkuu wa hii nchi nikielezotosha cha hizo product zenu hapo
 
Kuna kitu hakisemwi na hapo ndo mzizi mzima wa haya masuala. Hata mtoa mada amesema. Haimaniishi kama udsm haina wanafunzi vimeo ila walimu huwajaza wanafunzi kujiamini kiasi hujiona hata div au gpa yake iliyosawa au ndogo kwa mwenzake huwa inathamani mara kumi zaidi. Hili linathibitka kwa wanafunzi wengi waliopita pale hata rais huwa anajisifia kusoma udsm. Wao hufanya hata mapungufu yaonekane ubora. Hivi ulishawaza kwamba yule profesa aliyesemwa juzi angekuwa anafundisha saut au St joseph. Ila ukiwa mkuu wa nchi unatakiwa mapenzi yako binafsi yasionekane kirahaisi ila hili limethibitka kuwa limeshindikana na linajenga kujiona duni kwa wanafunzi wengine wanaosoma vyuo vingine hapa nchini
 
Acha kujifariji. Huezi amini. Kuna mwaka NMB walitangaza nafasi za kazi na sifa ya kwanza ilikuwa, lazima uwe umesoma IFM! I couldnt believe my eyes. Wanafunzi wa IFM walionekana ku shine NMB kuliko wale wa vyuo vingine!
 
Ni kweli Udsm ni chuo bora na elimu yake ni ngumu sana so hata ukimaliza na gpa ndogo huwez kosa kazi coz chuo kinaaminiwa. Graduates wake ndo wa daraja la juu kwa kila course nchi hii. Mwanafunzi wa udsm anasifa za kusoma chuo chochote Tanzania ila sio kila mwanafunzi wa chuo kingine anaweza kusoma udsm.
 
Kuna
Umeongea hoja mkuu. Ila uliona wapi mtu akajisifu kwa udhaifu. Mtu hujisifu endapo anaona zipo sababu za kufanya hivyo.
Kuna ukweli fulani ila ni wakati sasa vyuo vyetu vianze kunzalisha product yaani bidhaa badala yakuanda watu tu.

Ifike mahala tuanze kuona bidhaa
made in UDSM, SAUT, ATC, DIT, MUST nk zikitapakaa mtaani ili kuchochea maendeleo ya viwanda nchini visiishie kufanya tafiti tu nakuziacha hewani wakifanya hivi hata wananchi wakawaida watafaidika sana na hizi taasisi.
 
Nilifanya interview na graduate 8 wa UDSM matokeo ni kwamba nilikua the best ..sijasoma hio UDSM yako.
 
mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four mtu ana three anaenda advance anakomaa anapata div 1 au 2 sasa kwann mtu wa DD asiheshimiwe angekua amefelei basi asingechagulliwa
Yaani ingekua hivo hivi vyuo vingine watu wangegraduate na GPA za 2 wengi sana. GPA kubwa nyingi zingekua udsm. Vyuo vingine wanamitiani mirahisi sana.
 
Naona vijana wa Udsm mnaringa kwa sababu mkuu wa nchi yupo dar na chuo kikubwa cha kukitembelea ni udsm kwa sasa.

Ila Mara atakapo ng'oa nanga na kuelekea makao makuu tutawasahau na promo zote zitaisha .....tutaanza kuisikia UDOM ........binafsi nimesoma technical college na Nina GPA not less than 4.3 ila sitaki kwenda udsm naona kama nitaenda kubeba nuksi tu pale.

Engineering za pale kiukweli ni mbovu haijawahi tokea.

Mimi Binafsi sina kinyongo ila siikubali UDSM
 
Kuna
Kuna ukweli fulani ila ni wakati sasa vyuo vyetu vianze kunzalisha product yaani bidhaa badala yakuanda watu tu.

Ifike mahala tuanze kuona bidhaa
made in UDSM, SAUT, ATC, DIT, MUST nk zikitapakaa mtaani ili kuchochea maendeleo ya viwanda nchini visiishie kufanya tafiti tu nakuziacha hewani wakifanya hivi hata wananchi wakawaida watafaidika sana na hizi taasisi.

Kweli kabisa vingenevyo Udsm itabaki kasumba tuu
 
mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four mtu ana three anaenda advance anakomaa anapata div 1 au 2 sasa kwann mtu wa DD asiheshimiwe angekua amefelei basi asingechagulliwa

Kwa kweli umeongea hoja kubwa sana. Ila unadhani kwa nini waliopata ufaulu mdogo O'level wanafanya wonder A' level. Jibu nadhani unalo. Wengi wanatoka Kayumba ambapo huko walikumbwa na jinamizi la uhaba wa vifaa vya kujifunzia na ufundishaji. Hao ndio huwa vipanga wakifika chuoni
 
Nilifanya interview na graduate 8 wa UDSM matokeo ni kwamba nilikua the best ..sijasoma hio UDSM yako.
Mtoa post akiona hii atakimbia kimya kimya, Mie nilitaka kusoma course ya accounting ila niliambiwa usiende udsm utatoka hujaiva unapotaka kusoma course fulan angalia chuo chenye hiyo course sio kutafuta jina mwisho wa siku kwenye interview wanaonekana hakuna kitu kichwan
 
Wasomi wa UDSM tunawapongeza sana kwa kusoma at one of the finest Universities in this Country. Laki
 
Wasomi wa UDSM tunawapongeza sana kwa kusoma at one of the finest Universities in this Country. Lakini pia mkubali matakataka mengi ya Wasomi waliotukwamisha yametoka hapo pia.
 
Kiukweli nikutangulia tu na hiyo ipo kwa wasiosoma tu ila kwa wasomi wanaojitambua hiyo haipo mzee kinachomatter koz uliyosoma na ulichonacho kichwani kwako na jinsi unaweza fanya kazi hata gpa haiwi kigezo chakupata priority kwa sasa sembuse chuo
 
Kwenye siasa tuna wafiavyama na kwenye elimu naona sasa tunawafiavyuo. Bahati mbaya hata kwa wale wenye majukumu ya kuendeleza elimu ya juu nchi hii wapo wafia vyuo. Na hili husumbua vijana mpaka wanaishia kukosa vyuo wakiaminishwa na kuamini kuwa usiposoma chuo fulani basi ndiyo mwisho wa dunia. TCU/NACTE wahakikishe vigezo vinazingatiwa.
 
Back
Top Bottom