Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Umepiga mule mule


Watu wa st. Nani sijui vichuo gani watamwaga povu sana



Watu wa st. Nani sijui vichuo gani watamwaga povu sana



Ni kweli lakin kuexpect jina la chuo kupata ajira nikujidanganya mkuuUDSM ndo nembo ya Taifa letu,kubari au usikubari lakini huo ndo ukweli.
Napakubari sana KILIMANI.
hao hao waliotoka kwenye huo uhaba wa vifaa ndo wanapata hizo DD kisha wanabaguliwa kwenye hivyo vyuo pedwa hapa kwetu kisha tunawabeza tukijisifia wa UDSM not fair at all inasikitisha kiranja mkuu wa hii nchi ndo anaongiza huu ujinga yeye ndo wa kukemea lakini ndo anazua mijadala ya kijinga kwenye social mediaKwa kweli umeongea hoja kubwa sana. Ila unadhani kwa nini waliopata ufaulu mdogo O'level wanafanya wonder A' level. Jibu nadhani unalo. Wengi wanatoka Kayumba ambapo huko walikumbwa na jinamizi la uhaba wa vifaa vya kujifunzia na ufundishaji. Hao ndio huwa vipanga wakifika chuoni
Wewe kama mimi nimepiga ARUNilifanya interview na graduate 8 wa UDSM matokeo ni kwamba nilikua the best ..sijasoma hio UDSM yako.
I second youKiukweli nikutangulia tu na hiyo ipo kwa wasiosoma tu ila kwa wasomi wanaojitambua hiyo haipo mzee kinachomatter koz uliyosoma na ulichonacho kichwani kwako na jinsi unaweza fanya kazi hata gpa haiwi kigezo chakupata priority kwa sasa sembuse chuo
Kuna kitu hakisemwi na hapo ndo mzizi mzima wa haya masuala. Hata mtoa mada amesema. Haimaniishi kama udsm haina wanafunzi vimeo ila walimu huwajaza wanafunzi kujiamini kiasi hujiona hata div au gpa yake iliyosawa au ndogo kwa mwenzake huwa inathamani mara kumi zaidi. Hili linathibitka kwa wanafunzi wengi waliopita pale hata rais huwa anajisifia kusoma udsm. Wao hufanya hata mapungufu yaonekane ubora. Hivi ulishawaza kwamba yule profesa aliyesemwa juzi angekuwa anafundisha saut au St joseph. Ila ukiwa mkuu wa nchi unatakiwa mapenzi yako binafsi yasionekane kirahaisi ila hili limethibitka kuwa limeshindikana na linajenga kujiona duni kwa wanafunzi wengine wanaosoma vyuo vingine hapa nchini
Acha kujifariji. Huezi amini. Kuna mwaka NMB walitangaza nafasi za kazi na sifa ya kwanza ilikuwa, lazima uwe umesoma IFM! I couldnt believe my eyes. Wanafunzi wa IFM walionekana ku shine NMB kuliko wale wa vyuo vingine!
Ni kweli Udsm ni chuo bora na elimu yake ni ngumu sana so hata ukimaliza na gpa ndogo huwez kosa kazi coz chuo kinaaminiwa. Graduates wake ndo wa daraja la juu kwa kila course nchi hii. Mwanafunzi wa udsm anasifa za kusoma chuo chochote Tanzania ila sio kila mwanafunzi wa chuo kingine anaweza kusoma udsm.
Kati ya mwaka 2008- 2011. Sikumbuki mwaka vyema.Neno kuna mwaka tupatie tafsiri yake
Naona vijana wa Udsm mnaringa kwa sababu mkuu wa nchi yupo dar na chuo kikubwa cha kukitembelea ni udsm kwa sasa.
Ila Mara atakapo ng'oa nanga na kuelekea makao makuu tutawasahau na promo zote zitaisha .....tutaanza kuisikia UDOM ........binafsi nimesoma technical college na Nina GPA not less than 4.3 ila sitaki kwenda udsm naona kama nitaenda kubeba nuksi tu pale.
Engineering za pale kiukweli ni mbovu haijawahi tokea.
Mimi Binafsi sina kinyongo ila siikubali UDSM
Wewe kama mimi nimepiga ARU
Niliwafyekelea mbali wote kwenye interview,am proud ARU product
Na gpa inasoma vilevile
Na soon naenda kuwanoa madogo zao hapohapo Ud kwao
If you know you know
Kwanini wasijue sasa.Wakati wewe unajua walikuwepo Udsm 8, unadhani hao Udsm walijua wewe unatoka chuo gani. Hiyo inatosha kuelezea post yako
Hahahah watasubil sanaKaribu Udsm na GPA yako utolewe baru na vijana wa mwaka wa kwanza
Asanteee wamekalia majungu na njaa tuChuo ni Ardhi tu... Nilinunua gari nkiwa mwaka wa tatu. . kila cozi pale ni pesa tu