Recent content by Manselekta

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

    ...Pale jicho la Ruge linapoona, hapo ndipo miss atakapoibukia.Nimekusoma.mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

    Fanya uende Kibong'oto Hosp.....ipo Wilaya ya Sanya juu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Usalama ya Mwaka 1996 Ibara ya 5:29(10) Imeiua Tanzania?

    [emoji106] [emoji106]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Malaika kwenye kiwiliwili cha binadamu

    Daah...machozi yamenitoka!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    Hahaaaaa...dah,nimefurahi sana,chuo soo
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi Tina wa Mwananyamala

    Mshana nini cha kufanya hasa unapohamia nyumba yenye vitimbwi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wastara ni mkweli au mpigaji.. anatumia ugonjwa kula hela za wachangiaji?! hoja ya risiti

    Umeongea point....Issue yake kaifanya ya Taifa,by the way wengi wana tatizo la mguu kama yye,Mange katufumbua macho!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala

    Hayo maisha ya mwananyamla around mochwali na viunga vyake vyote...wanaoishi wote lazima watakua wandava kwa njia moja au nyingine!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

    Njoo Iringa road,kuna kiota kinaitwa KITOLI PUB
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana wangu anatakiwa kwenda UDOM lakini ni mjamzito, nifanyeje?

    vyuoni sio issue mtu kusoma akiwa mjamzito...kampangie chumba pale maeneo ya makulu,wapo wanafunzi wengi wanaishi wa udom au ng'ong'ona...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Please naomba nijumuishe katika ktk hao 300...nahitaji kujifunza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakushauriwa vizuri kuhusu kuivunja CDA

    Maamuzi ni mazuri ya kuvunja CDA..Walachia wa Dodoma wanajua madudu ya hawa jamaa walichowafanya walikua miungu mtu...pia tunashukuru kwa mazuri waliyofanya,ila imetosha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja rasmi na kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA)

    CDA walikua mafather kweli kweli...bora manispaa,hawa jamaa wameumiza maelfu ya wananchi,former presidaa jk alichemka kuivunja ingawa malamiko alipeleweka,war wa ardhi wa sasa atakua ameumia kweli,mmoja aliokua anaikingia kifua CDA,ni mmoja wa wanabodi...maamuzi aliyofanya rais...
Back
Top Bottom