Recent content by Manjuu01

  1. Manjuu01

    Hivi hizi sehemu nkiomba internship ntapata kweli

    Izo Auditing firms ni online. Search website zao uangalie kama kuna izo nafasi. PWC ilikuepo ila ishafungwa nadhani. Saa ivi ipo graduate programm. Ila kama alivosema Mtazanyika...GPA above four na Above B za maths na english secondary school ndio japo utaingia kwenye shortlst yao.
  2. Manjuu01

    Kulikoni JHPIEGO Dar es Salaam

    Jhpiego [emoji53] sijawai kuelewa recruitment process yao kabisaaaaaa.
  3. Manjuu01

    First National Bank wameanza kuita watu?

    Mkuu upo TRA au FNB??
  4. Manjuu01

    National housing haina faida kwa wa Tanzania 90%

    Kwa hali ilivo sidhani. Maana wao ata wakishadesign tu project unaskia SOLD OUT. Izi apa victoria zimejaa cnc wanamimina first floor. Kuna watu wana hela mkuu. Labda tusubiri wenye hela watosheke ndio tusogeze pua.
  5. Manjuu01

    National housing haina faida kwa wa Tanzania 90%

    Miradi yao ya sasa naona wamebase kwenye kuuza. Za kupangisha maybe zile za zamani.
  6. Manjuu01

    NGO ya Kitapeli inajiita ECHO-AID, Kuwa makini

    Ikiwezekana waeke kwenye spam list.
  7. Manjuu01

    MSAADA: TST score ndo nini? Nimeambiwa nipeleke baada ya kutuma maombi

    Njaa hizi...mpaka tupate ajira tutakutana na mengi sana..hiyo ya GPS score nlikutana nayo last year karibia nidakwe
  8. Manjuu01

    Nafasi za kazi FNB Bank

    Hajapotosha. Yangu pia imeenda.
  9. Manjuu01

    Nafasi za kazi FNB Bank

    Juzi nlibahatika kukutana na one of the bosses wa FNB anahold cheo cha Udirector. Nkajiongelesha kwake kuhusu hii kitu but responce yake ni kama hakuna hizi nafasi. Alinijibu tu "umeona wapi izo posts? Nkamuambia akasema hayaa we tuma.nkamwambia mbona emails zinabounce?akanijibu we tuma"...
  10. Manjuu01

    Kupata chumba NHC

    Project za NHC za sasa ivu nyingi wanauza. So wengi ni wamiliki halali
  11. Manjuu01

    Wale wahanga wa chip's kuku, goli moja, pitieni hapa

    Unafundisha veta compus ipi nkuletee student
Back
Top Bottom