Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ya nn mkuuNipe email ya ofisini kwenu
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ya nn mkuuNipe email ya ofisini kwenu
Kuna nafasi za kazi unaweza ukatumia gharama kuomba lakini si za benki., kazi za benki kupata siyo kirahisi rahisi kama mnavyofikiria hasa benki kubwa kubwa.Mkuu hii haina uhakika sn, uhakika ni ems au register ambazo ni gharama na kumbuka mtu anafanya application nyingi kadri awezavyo, email zinaokoa kwakweli
Kwa hiyo e mail ikikaa poa itaenda automatic au tuwe tunatuma kila muda mpaka itakavyokaa sawa.Nothing good comes easy.. Katume kwa posta, au subir email ifanye kaz, its ur choice
Ili uwe na uhakika maombi yko yamefika bora ukatume kwa postaKwa hiyo e mail ikikaa poa itaenda automatic au tuwe tunatuma kila muda mpaka itakavyokaa sawa.
Afu barua huwa hazisomwigharama za posta unazijua au unazisikia?
E mail ndio ya uhakika kuliko baruaIli uwe na uhakika maombi yko yamefika bora ukatume kwa posta
Usipotoshe wenziome leo nimefanikiwa kutuma kwa email na imeenda
Email ndio ya uhakika kuliko postaE mail ndio ya uhakika kuliko barua
Hajapotosha. Yangu pia imeenda.Usipotoshe wenzio
Kwa mwingine gharama, kwa mwingine sio gharama mkuuElfu moja na mia moja ndo gharama.?
usiwe unahangaika kuwajibu watu kama hawa mkuuHajapotosha. Yangu pia imeenda.
Kweli?Kuna nafasi za kazi unaweza ukatumia gharama kuomba lakini si za benki., kazi za benki kupata siyo kirahisi rahisi kama mnavyofikiria hasa benki kubwa kubwa.
Afu barua huwa hazisomwi
me leo nimefanikiwa kutuma kwa email na imeenda
mbona hapo tarehe ni 18 march ndo closing date hvy imeshapitaFirst National Bank Tanzania (FNB)
JOB OPPORTUNITY
1. External Sales
2. Frontline Coordinator
3. Coordinator Teller
4. Home Loan Consultant
5. Branch Administration Manager
6. External Sales Team Leader
7. Teller
8. Customer Sales and Service Representative
9. Premier Banking -CSSR
10. Catchment Head
11. Home Loan Consultant
How to apply: Send your CV and copy of certificates to
First National Bank Tanzania,(FNB) House, Ohio Street.
P.O.Box 72290, Dar es Salaam, Tanzania.
Email:rmassasi@fnb.co.tz
The Closing date for applications is 28th march 2016
Only shortlisted candidates will be contacted.
FNB is an equal opportunity employer
Source: The Guardian 18th March 2016