Lenatuschacha
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 156
- 36
Mimi siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi national housing wanasema wataka kujenga nyumba za watu maskini lakini cha ajabu eti nyumba hizo bei yake ni kuanzia million 70 sasa nikajiuliza watu maskini gani hao wanalengwa hata wafanyakazi wa serikali walio wengi hawawezi kumdu hiyo bei mfano Madaktari, askari, waalimu n.k. Mimi naona serikali ya JPM iliangalie hili upya ili wanainchi wote na wakipato cha chini wanufaike.