Cruzoo
Member
- Jan 30, 2014
- 37
- 17
Habari za Leo wakuu.
Kuna NGO moja inajiita ECHO-AID ambayo imetangaza ajira sasa hivi ''Accountant'' ikisema mshahara ni Euro 3,459pm to 3,987pm.
Napenda kuwajulisha hii ni NGO ya kitapeli na wanachofanya wanakaribisha CV halafu kabla ya deadline wankuambia umefanikiwa kupata nafasi ya kuwa shortlisted, hivyo unapaswa kufanya test kwanza kwa kampuni watakazokuelekza wao. Wanakupa website mbili, moja ikipatikana na nyingine haitapatikana. Ukifanya test watakutaka ulipe ili upate matokeo ya hio test zaidi ya US$ 100. Mwaka jana hio test waliita GPS Score ila sasa wameiita TST Score kwenye hilo tangazo lao. Mwaka jana walikuja kwa jina la HORN OF AFRICA AID ila sasa wanajita ECHO-AID wakitohoa hio ECHO kutoka humantarian wing ya Europian Unioni ikiitwa ECHO.
Tafadhali kuwa sana makini unapoapply kazi, chunguza kwanza kabla ya kutuma CV yako.
Unaweza kuliona hapa kwenye website yao Careers – ECHO AID pia lipo zoomtanzania.
Barikiwa.