MSAADA: TST score ndo nini? Nimeambiwa nipeleke baada ya kutuma maombi

Spokesperson

Member
Sep 21, 2015
19
7
Hi wadau, nimetuma maombi ya kazi ACCOUNTANT na kuambiwa nipeleke TST SCORE mwisho kesho saa 4. Siifahamu; nisaidieni ndio kitu gani hicho?
 
Nilipoona TST nikajua Tuberculin Skin Test.. Kumbe hii inahusu accounting.. Ngoja watuambie.
 
Karibia unaibiwa,ni wakenya hao.Kimbia haraka.Its a scam!
 
Duuh mkuu mimi nimesoma kozi moja na wewe lakin sijawahi kusikia na wala sijui maana ya TST SCORE. Au ni wewe ndo umefupisha?
 
Nilipoona TST nikajua Tuberculin Skin Test.. Kumbe hii inahusu accounting.. Ngoja watuambie.

Nami nimejua ni Tuberculin Skin Test ambayo kwa Tanzania kipimo hiki hakifanyiki tena except kwa hosp chache sana za private hapa Dar...nadhani ni matapeli, awe makini.
 
Nami nimejua ni Tuberculin Skin Test ambayo kwa Tanzania kipimo hiki hakifanyiki tena except kwa hosp chache sana za private hapa Dar...nadhani ni matapeli, awe makini.
Mkuu hao watakuwa ni Echo Aid, hata Mimi wamenitumia email, uzuri kuna mdau alitahadharisha mapema kuhusu hawa jamaa
 
Habari za Leo wakuu.
Kuna NGO moja inajiita
ECHO-AID ambayo
imetangaza ajira sasa hivi
''Accountant'' ikisema
mshahara ni Euro 3,459pm
to 3,987pm.
Napenda kuwajulisha hii ni
NGO ya kitapeli na
wanachofanya
wanakaribisha CV halafu
kabla ya deadline
wankuambia umefanikiwa
kupata nafasi ya kuwa
shortlisted, hivyo
unapaswa kufanya test
kwanza kwa kampuni
watakazokuelekza wao.
Wanakupa website mbili,
moja ikipatikana na
nyingine haitapatikana.
Ukifanya test watakutaka
ulipe ili upate matokeo ya
hio test zaidi ya US$ 100.
Mwaka jana hio test
waliita GPS Score ila sasa
wameiita TST Score
kwenye hilo tangazo lao.
Mwaka jana walikuja kwa
jina la HORN OF AFRICA
AID ila sasa wanajita
ECHO-AID wakitohoa hio
ECHO kutoka humantarian
wing ya Europian Unioni
ikiitwa ECHO.
Tafadhali kuwa sana
makini unapoapply kazi,
chunguza kwanza kabla ya
kutuma CV yako.
Unaweza kuliona hapa
kwenye website yao
Careers – ECHO AID pia
lipo zoomtanzania.
Barikiwa./
 
!
!
At the same time hawa wako biiiize kutumbuana majipu ambayo hata hivyo hawayaangalii tena kuhakikisha yamepona. Kweli tanzania ya Magufuli ni ya viwanda.
 
Habari za Leo wakuu.
Kuna NGO moja inajiita
ECHO-AID ambayo
imetangaza ajira sasa hivi
''Accountant'' ikisema
mshahara ni Euro 3,459pm
to 3,987pm.
Napenda kuwajulisha hii ni
NGO ya kitapeli na
wanachofanya
wanakaribisha CV halafu
kabla ya deadline
wankuambia umefanikiwa
kupata nafasi ya kuwa
shortlisted, hivyo
unapaswa kufanya test
kwanza kwa kampuni
watakazokuelekza wao.
Wanakupa website mbili,
moja ikipatikana na
nyingine haitapatikana.
Ukifanya test watakutaka
ulipe ili upate matokeo ya
hio test zaidi ya US$ 100.
Mwaka jana hio test
waliita GPS Score ila sasa
wameiita TST Score
kwenye hilo tangazo lao.
Mwaka jana walikuja kwa
jina la HORN OF AFRICA
AID ila sasa wanajita
ECHO-AID wakitohoa hio
ECHO kutoka humantarian
wing ya Europian Unioni
ikiitwa ECHO.
Tafadhali kuwa sana
makini unapoapply kazi,
chunguza kwanza kabla ya
kutuma CV yako.
Unaweza kuliona hapa
kwenye website yao
Careers – ECHO AID pia
lipo zoomtanzania.
Barikiwa./
ndo Ninachopendea JF kupeana MAUJANJA nadhani hapo mtoa mada amekusoma akili KUMKICHWA

BIGup MKUU kwa ufafanuzi murua mana kuna mdogo wangu alitaka kuuingia huu mkenge hvi nilikuwa nipo kwenye mchakato nimtumie huo mpunga akafanye hicho kipimo loh ! tungepigwaa!
 
hyo kozi uliyosoma na hicho kitu wapi na wapi?anyway kitakuwa ni kifaa cha kutumbulia majipu ofisini.je unacho?
 
Njaa hizi...mpaka tupate ajira tutakutana na mengi sana..hiyo ya GPS score nlikutana nayo last year karibia nidakwe
 
Habari za Leo wakuu.
Kuna NGO moja inajiita
ECHO-AID ambayo
imetangaza ajira sasa hivi
''Accountant'' ikisema
mshahara ni Euro 3,459pm
to 3,987pm.
Napenda kuwajulisha hii ni
NGO ya kitapeli na
wanachofanya
wanakaribisha CV halafu
kabla ya deadline
wankuambia umefanikiwa
kupata nafasi ya kuwa
shortlisted, hivyo
unapaswa kufanya test
kwanza kwa kampuni
watakazokuelekza wao.
Wanakupa website mbili,
moja ikipatikana na
nyingine haitapatikana.
Ukifanya test watakutaka
ulipe ili upate matokeo ya
hio test zaidi ya US$ 100.
Mwaka jana hio test
waliita GPS Score ila sasa
wameiita TST Score
kwenye hilo tangazo lao.
Mwaka jana walikuja kwa
jina la HORN OF AFRICA
AID ila sasa wanajita
ECHO-AID wakitohoa hio
ECHO kutoka humantarian
wing ya Europian Unioni
ikiitwa ECHO.
Tafadhali kuwa sana
makini unapoapply kazi,
chunguza kwanza kabla ya
kutuma CV yako.
Unaweza kuliona hapa
kwenye website yao
Careers – ECHO AID pia
lipo zoomtanzania.
Barikiwa./

Ahsante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom