Haya mambo yapo toka enzi na enzi na hayakuleta matatizo lakini sasahivi vijana mafriji hayagandishi na ndio kinachowatia hasira wagongewaji. Tisaidianae lakini tusitiriane😜
Uzuri hata sisi tushatoa gwara nyingi tu ikiwemo kwa ndugu zetu uto🐸. Ukiangalia Vipers aliewatesa Uto anavyopata tabu huku kwenye mashindano ya wakubwa utajua kabisa nyie bado!
Simba tena??😲😲 Fei toto anajua anachokitaka, afterall mashabiki maandazi wa Yanga waliimba uwanja mzima hawamtaki Fei toto baada ya kurise complain juu ya maslahi yake(possibly hili ndilo lilimfanya akwazike zaidi). Fei hayumbishwi na propaganda zenu za kuonekana sijui kimataifa, anajua fika...
Mechi muhimu sana kwetu...Ukiangalia ubora wa timu zote kwenye hili kundi utagundua hawa ndio wenye nafasi yetu ya kufuzu. Raja yeye ana asilimia kubwa ya kusonga hatua nyingine kwa kuzingatia ubora wake lakini pia matokea aliyopata leo yanadhihirisha wao ni wakubwa. Mwingine ni kati ya...
Mimi kila nikiangalia bodaboda wanavyolala na kona wanavyovyochomekea magari nasemaga kimomoyo huyu hawezi kuvaa kondomu kama, haogopi kifo cha kupasukapasuka dakika mbili au tatu mbele hawezi kuogopa UKIMWI wenye ARVs.
Wachana nae! It is either ana mahusiano mengine na yana afya nzuri au ameshakuevaluate akaona hutamu-afford. Mapenzi nikubeba yule unamuemmudu wachana na story za zali la mentali, ule ni wimbo tu.
Sasa mwanamke kuliwa ndio kitu inakufanya unakuja uku mbiombio ukihema?? Kashàakwaambia ni utani..wee chukulia ni utani kweli alafu fanya research taratiiiiiibu huku ukiendelea kuenjoy maisha na "mai" wako. Ukijakugundua anachepuka kweli tafuta naww mahala(mchepuko) piga kambi ukiona panakufaa...
Kwenye uchumi kuna kitu tunaita pareto effienciency. You reach a point you can not make one better off without causing other one worse off. Kwani huyo mwanamke wa Kizaramo yeye hataki maisha mazuri, mbona hamuoni hilo.
Kwakweli mimi sio muongeaji sana, ni aina ya watu ambao hua wanachoka na kupoteza umakini wanapohojiwa kwa zaidi ya dakika 15. Nondo nnazo ila pumzi inakata mapema naaza kujibu ovyo😄. Kikubwa saiv nafuga zangu mbuzi katoliki 🐖. hawa hawahitaji wapiga domo ni chakula, maji, dawa usafi bhaaasi...
Unataka kujua kwanini Yanga amekutana na Al Hilal(timu ngumu) na Simba akapewa De Agosto ambao ni wepesi???
Iko hivi, Kwenye hizi round za kwanza timu kubwa hukutana na timu ndogo. Huwezi kuona Al Ahly akipangwa na Wydad au RS Berkane Vs Simba au Mamelod Vs Mazembe. Ni mkubwa Agaist mdogo. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.