Ebu ona huyu mwanaume wa Kichaga anavyoitafuta laana kutoka kwa mkewe!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Situmii nguvu nyingi!

Yeye ni ukoo wa Swai, akaoa Ukoo wa Mbowe.

Baada ya Ndoa Mume akamuingia mkewe na kumwomba amchukulie mkopo Wa kiasi cha shilingi Milioni Kumi na Tano(15,000,000). Mwanamke fala kweli Huyu akakubali akakopa hizo pesa zote na kumpa mwanaume Ili anunue gari ya abiria wasakanye mpunga.

Jamaa akapata mpunga akanunua gari, dheni huyooooo akasepa hayupo Tena Kijijini akasepa zake Bagamoyooooo.

Mara paaaapu mikononi mwa mwanamke wa kizaramo, shanga kiunoni, kiuno pangaboi, mwanaume huyoooooo hataki hata kupasikia Kijijini Kwa mkewe huu ni mwaka umeisha na rejesho halipi.

Laaaura!!!!!!!!mwanamke kafatwa alipe deni, ghafla anaingia bafuni ameze dawa za Mende afe, Mungu mkubwa anaokolewa

Hii kitu SI kutafta rahanaaaaaaaa.
 
Bwashee kaniaibisha sana
 
Back
Top Bottom