Mara ya mwisho umetumia kondomu lini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,780
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi mnajitoa ufahamu mnajichetua pombe zinawafanya mnajisahau sana ns madanga hao mnaowapata wanapenda kugawa rectum na wanaume tunaongoza kuogopa kwenda kupima wanawake wanapina sana kwenye uzazi wa mpango au kliniki huko ukimpeleka mtoto au ukishika mimba lazima upimwe.af cha ajabu wanaume hata ukiwaambia fulani anameza vidonge bado anajipeleka kwa huyohuyo karibuni kwetu kibo bar masasi.
JPEG_20230128_123026_4346835353497167873.jpg
 
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi mnajitoa ufahamu mnajichetua pombe zinawafanya mnajisahau sana ns madanga hao mnaowapata wanapenda kugawa rectum na wanaume tunaongoza kuogopa kwenda kupima wanawake wanapina sana kwenye uzazi wa mpango au kliniki huko ukimpeleka mtoto au ukishika mimba lazima upimwe.af cha ajabu wanaume hata ukiwaambia fulani anameza vidonge bado anajipeleka kwa huyohuyo karibuni kwetu kibo bar masasi.View attachment 2498161
Kuna vizibo vitatu hapo, anza kuwauliza hao wawili wanaokosekana hapo
 
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi mnajitoa ufahamu mnajichetua pombe zinawafanya mnajisahau sana ns madanga hao mnaowapata wanapenda kugawa rectum na wanaume tunaongoza kuogopa kwenda kupima wanawake wanapina sana kwenye uzazi wa mpango au kliniki huko ukimpeleka mtoto au ukishika mimba lazima upimwe.af cha ajabu wanaume hata ukiwaambia fulani anameza vidonge bado anajipeleka kwa huyohuyo karibuni kwetu kibo bar masasi.View attachment 2498161

Kataa CONDOM
 
Kibo bar masasi siku hizi wana meza za mviringo? Au picha haihusiani na uzi. Ukitoka hap kibo nenda kwa adam viazi ukadangwe bila londomu
Hapo nime pause tu new luxury kibo si mpk night night mida ya saa nane usiku
 
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi mnajitoa ufahamu mnajichetua pombe zinawafanya mnajisahau sana ns madanga hao mnaowapata wanapenda kugawa rectum na wanaume tunaongoza kuogopa kwenda kupima wanawake wanapina sana kwenye uzazi wa mpango au kliniki huko ukimpeleka mtoto au ukishika mimba lazima upimwe.af cha ajabu wanaume hata ukiwaambia fulani anameza vidonge bado anajipeleka kwa huyohuyo karibuni kwetu kibo bar masasi.View attachment 2498161

Kiatu chako kichafu sana mbwa wewe!
 
pole pole we msomeshe Cappuccino kwenye kona, akupe kitu cha Arusha, mi nnacho cha Dodoma...
Sema nini me nikifikaga wilaya fulan af mida mibovu sipendi sana kuwatafuta mapusha labda nimtume boda anitafutie mjani ila me kuwatafuta no..sasa sema mitungi inakuwa mingi mpk unaogopa kwenda machimbo wanaweza kukuvua smart wahuni sio watu wazuri ila wote peponi
 
Back
Top Bottom