Ray Hana miaka 42 bhana. Ray ni KIJEBA cha Kale.
Ray anaigiza Mimi Niko shule msingi
Leo Mimi na approach 40 nimebakiza miaka michache sana eti Ray leo ana miaka 42 acha utani bhana bhana
Ray Yuko btewet 48-52
Wanampotezea muda tu.
They know they can't kufika huko.
Just kukurukakara tu za hapa na pale.
Wanajipotezea muda na wao.
They can do more important things than dealing with typical mumbojumbo case
Kuparty Huwa napari one at a time.
Masanga napiga ila sio mlevi-mbwa, sio mlevi,sio mnywaji najihesabia Mimi MUONJAJI tu nashukuru sijatopea huko.
Nashukuru tangu ujana nakua sijawahi vuta FEGI Wala MSUBA. washikaji wengi walizipiga hizi kitu ila Mimi nilikuwa pale nawazoom tu.
Nilishawahi...
Nenda kalipa ada bana usitupigie kelele hapa.
Hutaki mwanao akae nyuma ndio unataka mtoto wa nani akae huko nyuma.
Nyie ndio wale Wazazi wapumbavu pumbavu kutwa kucha kulalama Kwa Sababu za kijinga.
Mtoto umezaa mwenyewe Tabu uwaletee wengine
Kalipe ada bhana
Achana na hio biashara ya Mpesa kwanza jaribu biashara zingine.
Ukirudi huko kwenye Mpesa utakutana na Yaleyale. Cycle itakuwa ni Ile Ile
Matatizo Yaleyale,mtu yule yule,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.