nadhani ndugu zangu kuna ki2 tunajadiliana bila kujua tunachojadili,umeona akiwa na swipa au escort?swipa ni pikipiki inayotangulia mbele kuashiria watumiaji wengine wa barabara waache kuitumia,escort ni gari la walinzi ambalo wanaweza kuwa maafisa usalama wa police,jeshi,au tiss.wanaostaili n...