Jamani kuna kumbe kuna waathirika hewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kuna kumbe kuna waathirika hewa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mangoa, Mar 3, 2011.

 1. m

  mangoa Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilipata nafasi ya kutembelea wenzentu kule goms japo kuwapa pole,ktk pita pita zangu na kukaa vijiweni niliambulia vitu vingi sn mana kuna watu wanadai wameunguliwa na radio,tv,nguo mpk za watoto wakati walikuwa hata awakahi umo ndani mfn kuna jamaa mmoja yeye nimesikia ni mjeshi msataafu sajent mlawa pale mwisho wa lami kituoni,jamaa kumbe pale kashaama anakaa pungu nyuma ya shule ya msingi pale ilikuwa amefanya sehemu ya biashara lakini muhehe yule analia na kulia nimeunguliwa kila kitu sina hata nguo,jamani ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.jamaa kapewa turubai,analetewa michele,unga,mafuta,sabuni na wasamaria huyo anapakia ktk pick up yake pugu.du sikuamini kumbe ufisadi popote,nijuzeni km na nyhe mnayajua maeneo mengine.mhe jerry,sadick mmezipata hz
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....its obvious ni uchakachuaji kwa kwenda mbali!!!!!
   
Loading...