Msafara wa raisi ukiwa na ambulance maana yake nini?

Kama ikitokea tatizo linalo hitaji kazi za Ambulance basi wasipoteze muda mwingi kulipata.
 
Mkuu jaribu kujikumbusha kidogo juu ya shida za kuanguka za mwenye msafara , pamoja na kuwa ameongezewa ulinzi usioonekana na Mhe. Yahya Hussein, ni vyema watu makini lazima wachukue tahadhari , maana pale ulinzi wa Shekhe Yahya uki fail , hapo ndipo matumizi ya hiyo ambulance utakapoyaona .
Tuache ushabiki wa kitoto,msafara wa rais wa marekani,unampaka hosptali yenye uwezo wa operesheni na madk bigwa wapo tayari kwa lolote,watazania tukumbuke rais wa nchi ni mtu mkubwa sn,ndio mana baba mwenye nyumba analala master bdroom ata kama vyumba vyote vina choo,bafu nk aviwezi kuwa sw na chake.
 
Back
Top Bottom