Tangu Mabomu ya Goms Umeme Haujawahi Kukatika Huku Kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangu Mabomu ya Goms Umeme Haujawahi Kukatika Huku Kwetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Mar 3, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Je kulipuka kwake inatokana na umeme kugawiwa kama njugu? Leo huyu kapata huyu kakosa? Je ndiyo maana Mwinyi (Dr. Hussein) kagoma kujiuzulu kwa sababu anamjua anayepashwa kujiuzulu (Dr. Ngeleja)?

  Nachanganya mada kigogo (kumradhi):
  Sipendi kusikia mwandishi wa habari anatamka Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa. KAma alivyofanya Salumu Mwalimu wa Ch10 kwenye kipindi cha pambanua. Sipendi. Nilikosa line ya simu tu ... nilitaka nimchane live.
   
 2. m

  mangoa Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upende usipende yeye ni mhe waziri mkuu mstahafu km salim,msuya,kawawa,warioba nk anapewa ulinzi popotd alipo na staili zake zipo pale pale alingatuka akungatulia.nadhani tatizo lenu lilikuwa uwaziri mkuu ukweli.
   
 3. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Swala la mabomu na umeme weka kwe trend ya jamii, uchumi nk huku weka siasa.
   
 4. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,875
  Likes Received: 2,817
  Trophy Points: 280
  Unajua nimeshindwa kukuelewa kabisa sijui una maanisha nini kwenye hiyo mistari? Kiswahili jamani
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani mbona kila ki2 ni crap!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
 6. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  watamkeje??
   
 7. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kujiuzulu na kustaafu ni vitu viwili tofauti. Lowassa hakustaafu, alijiuzulu.
   
Loading...