Msaada, msaada tafadhali magufuli

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Wana jf hapa bukoba barabara zimejaa watu hata magari hayana pa kupita kisa .... Rais wetu slaa na jeshi lake . Watu wamemsubiri uwezi hamini wengi wao. Mwenye simu no. Za pombe ampigie aje apanue haraka barabara ili rais na wanyonge wake waweze kupita
 
nimefananisha ujio wa dr Slaa na maneno ya biblia yasemayo ' njooni muone , vipofu wanaona, viwete wanatembea, viziwi wanasikia, milima inasawazishwa....hama hakika bukoba hapatoshi.
 
Regia ametuambia mambo yanaanza saa saba, ina maana watu hawataki kusubiri?
MHH!!!
 
Upuuzi mtupu,angekuwa na washabiki wengi hivyo wangempa kura. . Washabiki wake mateja,madereva wa toyo,daladala,taxe,wapiga debe,
 
Upuuzi mtupu,angekuwa na washabiki wengi hivyo wangempa kura. . Washabiki wake mateja,madereva wa toyo,daladala,taxe,wapiga debe,

Hao hao unaowabeza ndio CCM iliokuwa inawaita mtaji miezi michache iliyopita pamoja nakuwasababishia maisha ya kila kukicha afadhali ya jana kwa mfumo wao wa kifisadi. Kura Dr Slaa wana Bukoba walimpa ebu rejea majumuisho ya kura zao dhidi ya Jakaya
 
Back
Top Bottom