Tatizo wizara ya mali asili na Utalii haitangazi Tanzania na vivutio vilivyopo Tanzania.
Ila pia ni mjinga pekee ndio atakayeamini Kuwa mlima kilimanjaro uko kenya au hiyo Oldvai mzungu kabla hajaa sehemu anaserch kwanza kwenye Google na kusoma kila kitu.
Wakenye wana usemi wao wanasema...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
IDARA YA HABARI - MAELEZO
P.O. Box 8031, Dar es Salaam, Tel: 2110585, 2122771/3, Fax: 2113814, e-mail: maelezo@habari.go.tz Tarehe: 01/03/2016
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Dira ya Mtanzania, Toleo...
Kila kitu afanye rais si kuna wakuu wa wilaya na mikoa kwa kushirikiana na polisi wana kazi gani?
Japokuwa itachukua muda sana kumaliza tatizo la gongo/ pombe haramu mkoa wa kilimanjaro hasa Rombo.
Tulitegemea hiki kiwanda cha Dangote cement iwe nafuu kuliko cement nyingine ila sioni tofauti yotote hiyo bei ya 13500 ndio bei tunayonunulia cement nyingine kwa sasa hapa dar.
Kulikuwa na tetesi mwanzo kuwa alitaka auze rahisi ila akaambiwa ataua viwanda vingine vya cement mwenye taarifa...
Tanesco ni wasumbufu sana. Me simtaji meneja jina kampuni ila nilienda kulipia meter nikakuta kuna wateja kama 60 wanasema wamelipa wana miezi 4 hawajafungiwa meter coz Tanesco wanadai meter hakuna.
Ilibidi nijiongeze nikalipa nikaenda na risiti yangu kwa Meneja nikajitambulisha me nafanya kazi...
Hao tanesco ni washenzi nao pia ni jipu. Nakaa Mbezi ya kimara Nipo nyumbani wiki ya pili niko likizo umeme kila ck unakatika tena kwa muda mrefu na hakuna taarifa yoyote tena wanakata na kurudisha wanaweza hata kutuunguzia vitu vyetu, wanakera sana hawa Tanesco.
Rombo kweli ina pombe nyingi sana hasa za kienyeji na wanasafirisha kupeleka Kenya pia.
Me nimesoma huko baba yangu alikuwa afisa tarafa alipa wakati mgumu sana kukabiliana na tatizo la kumaliza pombe haramu hasa gongo.
Kuna kipindi kuna mama alimfata hadi nyumbani akamwambia yy ni mjane watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.