Hii sio photoshop ni picha halisi ambayo ilipigwa na familia ya Mbowe , sasa imewekwa kwenye mitandao na familia ili kuijulisha michepuko inayomvizia Mbowe kuwa wako imara kama familia ............photoshop hiyo umejitahidi ila angalia kwanza viganja vya mheshimiwa Mbowe kimoja kikubwa na kingine kidogo
2.mkono wa huyo binti umezama sana shingoni yaan shingo umemeza kiganja cha mkono cha binti
3.kwenye kiganja cha mkono wa mbowe alioshikilia kidevu mdau amejaribu ila kuna uchafi ameshinwa utoa wakati wa editing lol!!
sahme on you.
Kwani Komba alikuwa na Mkewe wa Ndoa ? Michepuko bana ,,,,,,,,,,Huyu naye hana tofauti na Komba
Hamy kumbe humjui Mbowe?!, huyo ndiye mkewe!.WanaJF,
Picha ambayo Mbowe ame-post ni yenye kumuonyesha mheshimiwa huyo akimpiga "busu" mwanamke ambae hakufahamika kwa haraka wakiwa katika mgahawa.
Hii ndiyo singo mpya ambayo Mwenyekiti wenu asiyemheshimu Nyerere kiasi cha kushindwa kumwita Baba wa Taifa au Mwalimu badala yake akaanza kumwita Mzee Nyerere amewatuma muanze kuiuza kumwokoa na aibu na mashambulizi anayoyapata sasa ya kuonesha uwezo mdogo wa kiuongozi Kama ambavyo Mwalimu alimtabiria?
Au ndiyo singo mpya ambayo Mzee wa Weka Mbali na Tembo amewatuma vijana wake mje nayo ili kupunguza mashambulizi ya tuhuma za kumaliza tembo wetu ambazo zimeanza upya baada ya yeye kwa kushirikiana na mwenzake mmoja hivi walipoamua kumshambulia mwenzao mmoja katika circles za keki yao!
Waambieni wakuu wenu! Kila wanapokuwa wamezidiwa mashambulizi ya hoja za maana huwa wanaingiza mambo kama haya eti kubadili upepo na kuwarubuni wananchi!
Singo zilizoko mjini kwa sasa ni Katiba Mpya, Uchaguzi Serikali za Mitaa na